Wakuu,
Liliwahi kukuta jambo mpaka ukawaza na kuwazua ilikuwaje ukaingia kwenye hayo mahusiano au ndoa?
Ilikuwaje? Bado upo huko au ulishabwaga manyanga?😅
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana...
Sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila kwa sababu wanawake pia ni binadamu. Na asili ya binadamu ni survival, not honesty. Wanawake wameweza ku-survival tangu vizazi vya kale kwa kudanganya...
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli mpenzi wangu ananipenda au amenizoea kwa sababu ya msaada ninaompa.
Wakati hana pesa, huwa mtu tofauti kabisa. Ananipigia simu, ananijulia hali, anataka tuongee na...
Moja ya tofauti kubwa kati ya mwanamke na mwanaume ni umbo. Umbile la mwanamke hata kwa nyuma tu unajua hiki kitu....
Mimi ndo maana napendelea sana wanawake wenye MAKEBO MAKUBWA. Yaani Matako...
Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na...
1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza
2. Hawajatongozwa muda mrefu
3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela
5. Wanaogopa kukupoteza
Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanamke ambaye...
1. Ni wanawake wenye dedication kwenye mapenzi na ndoa
2. Hawapendi kufanya kazi ila wapo vizuri kwa kazi za Kitandani tu
3. Wengi wanaweza kuwa na sura nzuri ila maumbo si sana.
4. Wanajua sana...
Ndugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono...
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa...
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki.
Wanawake wengine...
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi...
Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu...
Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35...