wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.
Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa...
🔍 1. VIASHIRIA VYA MZAZI MWENYE KUMPENDA SANA MTOTO (Overprotective & Passive Parent)
A. Overprotective Parent (Anayemkinga Kupita Kiasi)
Humzuia mtoto kushughulika na changamoto za kawaida...
Wengi wetu tunafahamu kuwa mwanamke kukata mauno wakati mkijamiiana ni ujanja na ni mwanamke wa shoka,licha ya kuwa kuna faida nyingi ktk kufanya hivyo,lakini,zifuatazo ni hasara/madhara machache...
Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje
Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje
Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike...
KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia.
Ofisini
Barabarani
Biasharani
Kanisani
Kwenye usafiri
Pia social media adds na reel/shorts...
Nilikuwa mwanafunzi mwenye bidii sana wakati nikiwa O level, nilikua napambana kinoma katika masomo hivyo nikawa nafaulu sana japo sijawahi kuwa wa kwanza ila 5 bora sijawahi kukosekan, na...
Marcus Hustedde alimvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Ashley mbele ya mlipuko wa volkano huko Hawaii mwezi January mapema mwaka huu.
Storm chaser na meteorologist Marcus hustedde alishafanikiwa...
Habari za humu wana JF!
Kuna kasumba kwa baadhi ya wanaume kuwaambia wanaume wenzao eti 'wanawamiss!'
Kwa mfano mtu anaku-text eti "Amicus I Miss U!"...khaa! Utanimisije mwanaume mwenzio...
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Napenda sana umbea,yaani napenda mastori ya mastaa mbalimbali,sipendi Mada za kushusha thamani ya mtu,sipendi masimango yaani mtu hakujui unafananaje , lakini...
Siku ya msiba wangu
Haoni navyoumia, sichoki kubembeleza
Kila siku ninalia, huku nikimueleza
Karibu nitajifia, Moyo ushajimaliza
Siku ya msiba wangu, kwake iwe ni sherehe
Aalike na vigoma, na...
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi.
Kama unayo hebu tupia maneno...
Habari wakuu,
Mimii ni kijana wa miaka 23, nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, tangu nianze masomo yangu kidato cha kwanza, mke wa baba yangu mdogo ananinyanyasa sana, na nilikua nasikiaga...
Nilikuja kuomba ushauri humu kwa wakuu, ila nashukuru sana uwepo wa jamii forum
Kijana ukitumia jamii forum kama Muongozo wa maisha Yako basi huwezi kufanya makosa ambayo wengine wanafanya.
Watu...
Habarini, watu hudhani wanapofika kilele cha mapenzi na upendo moto moto basi hali hiyo itadumu mpaka mwisho wao ila ukweli mchungu ni kwamba mkishafika stage hiyo mna machaguo mawili tu...
Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito...
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga...
Wasalam wana jamvi, kuna washikaji wawili wamehamia mtaani kwetu hapa Maguruwe hivi karibuni jamani wanamaliza wake za watu acha kabisa, nasikia hawa jamaa wametahiriwa na wamasai huko Arusha...
Nimekwambia hapa hatoki mtu na kama utaniacha basi hutokuja kuoa mwanamke mwingine nife leo nife kesho,Hayo ni maneno ya mke wangu.
Ilikuwa ijumaa tulivuu tukiwa hotel ya Wanyama Sinza baada ya...