Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari, Mimi ni kijana mdogo around miaka 20 nimekuja kuuliza swali humu MMU hivi inakuaje mpaka mtu unafika muda unaamua kuoa mke mmoja tu vitu gani uwa mnazingatia zaidi kwa kuwa nimekuwa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Jean, his mother's younger sister, arrived at the house bright and early on Saturday morning. "Hi squirt," she said. Rick didn't resent the slam it was a nickname she had given him when he was...
0 Reactions
1 Replies
29K Views
Kuna rafiki yangu mmoja kaniomba ushauri. Nami nimeona si vibaya nikiwashirikisha wan JF ili kupata mawazo zaidi.Samahani nitatumia majina ambayo siyo halisi. Lily ana mchumba wake anaitwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hivi kwa nini mwanamke ndio huvalishwa ''ENGAGEMENT RING''?? Kwa nini asivae pia mwanaume ili ijulikane nae anamchumba??
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Ni rafiki yangu kanitumia nami nakubaliana na hii article 100%.. LOVE IS NOT ALL ABOUT SEX We have all made mistakes in life, let's amend it.......... Sex is NOT love. Love is not sex. You can...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Niaje wakuu Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake maybe yuko insta snap au whatsapp...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Awali ya yote kabisa nimshukuru Mungu wa Mbinguni ambaye ndiye tegemeo letu sote iwe kwenye raha au shida. Na azidi kushukuriwa Mungu huyu huyu kwa kunrejesha katika hali yangu ya mwanzo, Amen...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam, Kwa kuzingatia hapa JF ni uwanja mpana na fikra tofautitofauti aweza kupata chochote na kikamsaidia kufanya maamuzi mazuri. Kifupi nina rafiki yangu mmoja ninayefanya naye kazi, yeye...
8 Reactions
283 Replies
23K Views
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
37 Reactions
423 Replies
29K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Walamba Coni wa Azam wameikalisha Yanga leo kwa 2-2, hapo Simba akimchapa Azam anaenda kileleni, na wa kumkalisha labda Costal...
37 Reactions
189 Replies
43K Views
Salamu, Kuna kujitetea kwingi kwa wanaume wanaochepuka na hasa wanaogegeda ma house grrl wao, eti ooo mwanamke anasababisha, wapi ni mitamaa tu ya wanaume na kutokujiheshimu. Mwanaume...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Do u sometimes miss ur virgin breaker? Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Baada ya kuruka huku na huko kwa muda mrefu, sasa nimepata sehemu sahihi nimetua nimetulia tuli. Hivi nipo najipanga taratibu kufika mwisho wa mwaka huu niwe nimekamilisha taratibu zote...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu. Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
3 Reactions
47 Replies
27K Views
Habari wana forum, Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kimoja hapa TZ, kiukweli nimekuja hapa kuwaelezea tatizo langu linalonisibu hivi sasa. Kiukweli nina shida ya kukosa kujiamini kabisa kwenye...
3 Reactions
98 Replies
9K Views
Holla, Few minutes to the event.... I remember what my grandma told me... Everything I worked for, everything I dreamt of..... And yes.... am falling in love ooh again and again. Off to...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani nipo kwenye group la familia pamoja na; 1: Baba na Mama, 2. Dada zangu na mashemeji zangu, 3: Wadogo zangu na wajomba, 5: Ndugu wengine, Sasa bahati mbaya nimetuma video za ngono Tatu bila...
5 Reactions
102 Replies
17K Views
Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawahi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya. Nimeona tofauti nimekumbuka utamu...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…