Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana JF, Kwa ukweli wa roho yangu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani aisee mbaya mpaka basi. Tupeane uzoefu jamani tulipo Post...
7 Reactions
154 Replies
18K Views
(1)Mapenzi hii ni kwa asilimia 70% (2) mpira wa miguu Hii ni kwa asilimia 20% (3) siasa Hii ni kwa asilimia 10% Story za kumcha Mungu ni asilimia 0% Kutokana na kupuyanga kwangu vijiwe tofauti...
0 Reactions
23 Replies
45K Views
Wataalam na wanasayansi wanasema hayo. Tafiti hupingwa kwa tafiti ======== ASILIMIA 33 ya wanaume 672 mkoani Dar es Salaam wamebainika kuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Utafiti uliofanywa na...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Mara nyingi nikiona watu wakiwakejeli wanaume wa Dar kuwa wengi wao kitandani wako hoi pamoja na kuwa wakila sana pweza. Leo gazeti la Mtanzania, tena ukurasa wa kwanza kabisa (highlight...
6 Reactions
146 Replies
12K Views
Salaam! Huu ni kama mrejesho, kuna uzi niliuleta nikisema "namwogopa mchumba wangu".Pamoja na ushauri wa wadau walionishauri kwa kumaanisha niliamua nimuombe tu msamaha mchumba wangu hata kama...
17 Reactions
148 Replies
14K Views
Kichwa kipo sahihi nadhani. Vigezo. Umri 18-22. Shape; normal size not over size. Urefu; not more than futi 6 Dini: yoyote ila sio ya kuamini mizimu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za humu, Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana, awe anajielewa, asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara, miaka kuanzia 28-34 awe muislam. Mimi ni...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanaume magwangalah Kumezuka aina ya wanaume ambao ni mwagwangala yaani yale mabaki yanayopatikana baada ya dhahabu imechukuliwa ule unga unga na mabaki ya hovyo hovyo ndo yanaitwa magwangalah...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mahusiano sio jambo rahisi. Haishangazi kuona kwamba eneo la mahusiano ya binadamu, iwe ni kwenye ndoa,mapenzi,kazi,biashara na jamii ni mojawapo ya eneo linalopewa kipaumbele cha kila aina...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari za mchana wapendwa, Naomba kuuliza..... Hivi kutafuta/nakupata mpenzi/mchumba/mke/mume ndio imekuwa ngumi kiasi hichi mpaka watu tumefikia kuwatafutia huku kwenye mitandao ya kijamii...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Unakuta upo safarini toka mkoa mmoja hadi mwingine, na bahati nzuri pembeni yako umekaa na mkaka au mdada alafu ukamuelewa. Ile katika mazungumzo mkajikuta mahaba yametawala, mara maongezi...
21 Reactions
141 Replies
11K Views
Nilikuwa kwenye ndoa, tena ndoa ya kanisani. Mume wangu wa ni mtu wa kutoka mkoa unaosifika kwa ubishi. Tulikutana nikiwa nimekwenda huko kikazi, tukaanza mawasiliano hatimaye tukawa wapenzi na...
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Dear future wife, Let me make a promise. You're going to be that special someone, whom I'll never lose in life. You're going to be the special someone, with whom I'm gonna smile. You're going to...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Mpe mkeo sababu ya kuendeelea kutabasamu, tunajua amevumilia mengi mpaka kufikia kuitwa mke wako. Unapoalikwa kwenye harusi na kumuona bibi harusi akitabasamu usijekuangalia na kuwaza ukasema yule...
17 Reactions
66 Replies
7K Views
Sijui mwenzangu upo upande gani kati izo pande mbili, tujuzane zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Nilikuwa naongea na jamaa yangu kuhusu masuala ya ndoa na changamoto zake, jamaa ameniambia ndoa nzuri na yenye raha mustarehe ni ile ambayo Wakwe wamefariki. Anasema alikuwa anapata changamoto...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Moja kwa moja niende kwenye mada, Mimi ni kijana ambae nipo bado chuo, sasa ni kwamba nimempa binti mimba mbaya zaidi ni tayari anamtoto mmoja. Kikubwa sijamkubali kabisa kuja kuishi nae hata...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakati mwingine mzazi anapokuambia uvumilie ndoa ndiyo ilivyo anamaanisha kua hembu kaa huko kwa mume wako unataka uondoke ili uraudi kwangu unitie matatizo, nimeshamaliza kulea halafu unataka uje...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
  • Closed
Habari za asubuhi wapendwa, Mtakao soma hapa basi mmeze tuu hadi mwisho maana hii ni simulizi ya yaliyotukia kati ya Smart911 na Kasie kuanzia Krismasi hadi mwaka mpya. Sii kuwa namwamgia sifa au...
12 Reactions
1K Replies
68K Views
Kuna mdau kauliza kama mwanamke (aliyeolewa? Nadhani alimaanisha hivyo) anaweza kukaa miaka mitatu bila ku do. Imenipa changamoto kubwa. Miaka mitatu si mchezo. Kwa mwanaume je? Miaka mitatu hiyo...
1 Reactions
117 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…