Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,050
- 40,028
Habari za asubuhi wapendwa,
Mtakao soma hapa basi mmeze tuu hadi mwisho maana hii ni simulizi ya yaliyotukia kati ya Smart911 na Kasie kuanzia Krismasi hadi mwaka mpya.
Sii kuwa namwamgia sifa au nampamba mwanaume huyu la hasha ila .......... nimemkubali na kwake ndo nimefika na kituo nimeweka.
Ile tumefika safari yetu ilikuwa ni eneo la bichi. (Cottage - house along the beach) Yaani sijawahi hudumiwa na kupewa mahaba yale pamoja na kuishi kwangu kote huku. Nikisema nimefika Kigoma mwisho wa reli maana yake ni kuwa kwa Smart sitoki ng'oo.
Mie bana mapenzi ndo yamenitawala na kwakuwa alishanijua hakufanya makosa.....
Mapenzi ni sanaa na ubunifu kama huna ubunifu na wewe si msanii kwenye mapenzi basi utagongewa kila siku. Basi ile tumefika kwenye ile nyumba akasema tukaoge hehehehehe shughuli ilianzia hapo. Aliwasha mziki wenye sauti ya kati ambao kila chumba cha hiyo nyumba kuna spika hivo popote unapokuwa kwenye hiyo nyumba unasikia mziki.
Wakati tunaoga mziki ulikuwa wa slow jam hahahaha waweza pata taswira hapo movement ilikuwaje maana hadi tunatoka bafuni viwili vilikuwa tayari.
Kwa wiki yote tuliyokuwa kule kila ufikapo wakati wa faragha Smart aliweka mdundo -mziki ambao unatuongoza mapigo ya kupigana miti hahahahahaha asikwambie mtu wee sikilizia kwa jirani tuu maana utamu wake ni balaa.
Siku ya Krismasi akaweka ule wimbo wa darasa weeeh sikuamini kilichotokea maana pale kwenye kurasa ndo ilikuwa balaa....
Pale panapo imba "kamataa, shika Bambataaaaa,......... Kaboka Mchizi nshadata nshadataah......." mdundo wa mziki hapo ni balaa... unashangaa tuu kiuno hakitulii na yeye anazidi kusukumia tuu, kazi ilikuwa kubadili mikao tuu. Mara kwenye kochi mara jikoni mara kwenye ngazi mara kuchutama basi ilikuwa burudani bin rahaa.
Yaani hapo mauno yanaenda na beats huku na yeye anachomeka kulingana na beats weeh utamu wake acha tuu husikii kuchoka wala njaa na kutoka ndani unajiskia kijana mnoo na mwenye nguvu kuliko.
Mpenz wangu Smart nakuheshimu sana, penzi lako nalilinda na kulitunza asilani katu sitakuwa tayari kulipoteza. Nakupendaa.
Baada ya kurudi kutoka vacation yetu nikawa nawaza kuwa baadhi ya wanaume watu wazima kama Mzee Mengi kumuoa binti kama Jackie si kuwa haoni watu wazima wenzake laah bali mambo ya ubunifu na sanaa ndo yanamfanya mtu arejeshwe kuwa ujanani - to rejuvinate.
Sasa kuna siku tulianza libeneke na wimbo wa Bob Marley ule wa...
I wanna love you and treat you right.
I wanna love you everyday and every night
We'll be together for Jah provide the bread
We'll stay in one room of my single bed.......
Is this love is this love is this love or am I dreaming.......
Yaani huo wimbo hizo beats bin midundo daaah unasikia tuu inaingia waah waah waaah na mie narudishia mauno ya mapigo hayo hayo raha yake haielezeki.
Basi nikiwa najiandaa kurudi kazini SA jumatatu natafakari maisha mapya yatavokuwa kwa mwaka wote huu wa 2017.
Nakupenda ssna mpenz wangu bin habibi Smart911 kwako nimetia nanga sisikii wala sioni kwingine.
Jumatano njema nyote na wale ambao tulikuwa hatujasalimiana basi nawapa heri ya mwaka mpya.
Kasie ndo huyoo keshaopolewa mazimaaa.