Poleni na majukumu,
Nina mpenzi tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana ajabu kila nikimwambia tukapime UKIMWI ananipa excuse kibao, Mara tutapima tu, Mara una haraka gani? Mara niko busy sana na...
Hello my people how are you. I do believe that one can get a husband or wife anywhere as long as they have the same commonalities. That being the case I Binti Mimi is searching for my soul mate to...
Jamani kuna demu mkali ile mbaya nilimtokea tangu mwezi february 2011, tangu nilipoanza kumdondokea usoni amekuwa aniambia kuwa tutaongea nisubiri akipata nafasi!<br />
<br />
Leo nikiwa mitaa...
Habari zenu JF,
Hope wazima humu na poleni kwa mihangaiko,
Niende kwenye mada, ninampenzi wangu ambae tumekaa mbali kidogo sasa sijui katika kukaa mbali imesababisha yeye akapata mtu mwingine...
Wakuu hii imekaaje?
For the love of eduction unakuta rijali kaacha mke na kupotelea Ulaya kusoma kwa miaka miwili na zaidi.
Hivi hiyo ndoa yaweza kuwa salama kusiwe na kusalitiana?
Mke anahitajika popote alipo.
Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya...
Swali kwenu wana MMU.
Mafuriko ya mabango ya wajane kwenye mikutano ya Magu wakiomba misaada inatupa picha gani? Mbona sijawahi kuona mabango ya "wagane", ( wanaume waliofiwa na wake zao...
Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au...
Nahitaji msaada maana nimegusiwa na Bi Mkubwa kuwa kuna mtoto mwenye maadili kwa jirani.Mimi bado sijampa jibu maana nina mpango wa kitafuta mwenyewe pia bado nipo katika ukaguzi wa kuangalia yupi...
Unakuta unamfukuzia msichana au mwanamke au hata msichana ambaye umevutika nae labda sababu ya sura yake matata au figure yake ya eight unamtokea mtoto mzuri. Mfano; unakutana nae dukani, hotel...
Habarini wadau,
Mimi sipo exposed saana na dunia hii, ila nina ukaribu na baadhi ya wageni walio Wazungu (hasa Wamarekani, Wafaransa, Waingereza na Waholanzi) hawa wengi wao ni exparts ila...
Wana jukwaa nawasalimu,
Kuna jambo nakabiliana nalo naombeni ushauri wenu nina mchumba wangu ila tumejaliwa mtoto mmoja hatujafunga ndoa bado.
Mwenzangu alipata nafasi ya kweda China masomoni...
Mpenzi wangu kaniambia nkishika mimba atanirudisha home mana ye hawezi ule usumbufu wa mama mjamzito. Nimeishiwa pozi hapa nataka nimuache kimya kimya,si kwa unyanyapaa huo.
NB: Hakuniambia...
Nimekuwa nikipitia posts nyingi humu JF, hasa katika jukwaa la Love Connect, wanawake wengi wanaotafuta wanaume wa kuwaoa, kwa kweli nimegundua kuwa wengi wao hawako very serious na kile ambacho...
Kwan kutongoza demu nsiemjua kwenye magroup ya tsup na telegram dhambi??!
Mi.mwenzio kila nnae mtongoza anazama King ila juz yamenifika nmetongoza demu wa admin akankubalia ila tatiz bahati co...
Hivi ni kwanini pale Wawili mnapokuwa mnafanya mapenzi / mnabanduana / mnatinduana / mnangonoka mmoja wapo akimtaka tu mwenzie aseme / atamke lolote lile amri hiyo hutekelezwa mara moja pasipo...
Miaka ya tisini hapo kwanza redio zilikuwa chache sana na zingine zilikuwa hazi-keshi mwisho alikuwa SAA sita na kuanza SAA 11 asubuhi lakini baadaye wakaanza kukesha hadi hivi Leo.
Sasa redio...