Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, habari zenu... Wiki moja iliyopita, nilileta post humu, nikimuelezea huyu demu wangu wa ajabu na adimu sana kwa nyakati hizi kutokea.. Nilieleza kwamba, huyu demu hata niende nimtoe out...
9 Reactions
152 Replies
8K Views
Wanawake wengi wamekuwa wakitamani sana ndoa ila wanajikuta wakitumika bila kuolewa, sababu wamejitengenezea mazingira ya kutumika bila kuolewa. Na huwa hawajiulizi kwanini wanatumika yapo makosa...
32 Reactions
150 Replies
12K Views
Baada ya kuona mabadiliko ya uchezaji katika siku mbili tatu hizi, niliamua kumtilia shaka juu ya nani aliyemfundisha, kwa kweli mpaka sasa hivi mapigo ya moyo nayaona yananidundia mgongoni...
5 Reactions
112 Replies
13K Views
Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi...
19 Reactions
159 Replies
39K Views
Lucinda Allen (pichani juu) kutoka Stourbrige alipooza mwili wake baada ya kufikishwa kileleleni (orgasm) kulikosababisha damu kuvuja ndani ya ubongo (brain hemorrhage) wakati akifanya mapenzi...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
Yaan huu mtandao ni watu wa kupenda siri kama Freemasons vile, jina fake, picha fake hata nikiuliza makazi lazima nitapewa fake tu! mna siri gan nyinyi? *HAYA LEO NAOMBA KUWAJUA WA MKOA WA...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojichora Ila kwa maelezo zaidi ni kwamba ni zawadi gani(zawadi ya kiwango cha kati) ambayo inafaa kumpatia mtu ambae unampenda na upo ktk proces za kumtongoza? Zawadi gani...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri unaokaribia miaka 30. Mwaka Jana mwezi wa 12 nimepata mchumba Wangu ambaye bado anasoma chuo, lakin bahati nzuri zaidi nikapata kufanya kazi kimataifa zaidi nikaja...
3 Reactions
130 Replies
13K Views
Kuna hii tabia ya watu walio kwenye mahusiano ya muda mrefu. Mnakuwa mko poa kabisa hamna mikwaruzano baina yenu, mnapendana tu! Ila kunakuwa na mtu ambaye mpenzi wako ghafla anakuwa anamu...
6 Reactions
148 Replies
13K Views
Hapo nyuma kidogo enzi za Rais aliepita
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Kumpost mchumba wako facebook wakati yeye akupost ni ujinga
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo vipi walipa kodi wenzangu? Niende kwenye point direct, Wahenga wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, issue yangu iko hivi kuna binti ambae nadhani ndiye aliyeniingiza katika ulimwengu huu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu nyote hope mko poa, Je ni jina gani ambalo hutokuja kumpatia mtoto/watoto wako?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukiona dalili zifuatazo ujue mke, mume/ mpenzi wako ni BOMU. Kama umeshaoa hakuna namna inabidi tu upambane na hali yako. Kama hujaoa hii thread yaweza kuwa kivunja uchumba. 1) Ukiona mtu ambaye...
13 Reactions
71 Replies
8K Views
Habari zenu wadau..... Kuna dada mmoja huwa anakujaga kunisaidia kufanya usafi wa nguo na nyumba,...... Ni kawaida pale ninapomuhitaji kwa usafi, nampigia simu zile siku ambazo ninamuhitaji...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Somo lajieleza Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 31 Nishawahi kuoa na kupata mtoto mmoja kwenye ndoa,lakn ndoa yetu haikua riziki mwenza wangu aliipenda michepuko. Ni mwajiriwa pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simwelewi huyu mwanamke lengo lake ni lipi, au ni uchawi kwa maana ni zaidi ya mara nne nimemfumania akiwa ananusa nguo zangu. Japo nilimkanya hiyo tabia lakini ndio kwanza naonekana kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza, Mimi ni kijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (muda mwingine hata salamu siwezi kutoa yani domozege) Basi ninyi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakubwa, wahenga walibugi sana waliposema "Samaki mmoja akioza, wote wameoza." Kama ndoto vile, mtoto mzr wa chuo kimoja hapo Kati,.... Yuko tofauti kabisa na hawa akina naniiiii, naniliii huyu...
43 Reactions
389 Replies
29K Views
Habari za hapa, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48, nina urefu wa futi 5 na inchi 7, rangi yangu maji ya kunde umbo slim body. Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa maisha yangu nina nia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…