Kama nilivyotanguliza samahani hapo juu,ninaomba yeyote mwenye kufahamu guest mitaa ya kwanzia Kimara to ubungo anielekeze,manake nmepata ofa ya kumwaga sumu weekend hii pia na bei zake ila...
Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz...
Nimeiona Mahala nikaona,Tujifunze wote MALKIA WA NGUVU wa JF
By: A Muslim Sister
Source: MuslimVillage.com
“Second wife! The words reverberated through my brain. Why? Am I not good enough...
Wakuu kwema,
Katika harakati zangu maisha sina vikubwa sana kiasi tu japo nafight bado nijenge na kuwa na kwangu biashara na kadhalika nina kaplot mjini, tayari sasa nina mpenzi tuna kama mwaka...
hey guys
Mm actually ni kijana in my early twenties, na huwa naji-consider kama mtu mzima, lakini mm nashangaa kuna baadhi ya watu wazima huwa wananiambiaga kuwa bado mimi ni mtoto kuna mambo...
Hellow wanaJF,
Leo kuna huyu dada rafiki yangu sana yaani ni kama mwandani wangu tumeshibana sana tuu. Issue iko hivi huyu bibi ana bwana wake wote ni wafanyakazi wa umma ni mwanamke mwenye upeo...
Wasalaam wana MMU,
Najisikia kushare nanyi story ya mahusiano yangu maana ina mafunzo mengi ndani yake.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada;
Mimi ni mwanamke niliyelelewa kwenye...
Wakuu habari za kushinda,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
Ningependa tushee kwa pamoja mada husika. Bila kigugumizi mi binafsi nilishawahi kutana na wanawake watatu wenye bikra.
Wa...
Ndugu zangu,Kaka na dada zangu,
Wanaume,katika ulimwengu wa roho wao ni watoaji na wanawake ni wapokeaji.Ndio maana wakristo wanaambiwa wanaume muwapende wake zenu..na wanawake muwatii waume...
Wanajamvi natumai mu-wazima, niende kwenye mada
Wakuu kuna binti tulianzisha mahusiano toka tuko wadogo hivi, kipimd flan cha wakati tukapotezana baada ya mimi kuwa mbali kimasomo High school na...
1. Kama anazungumzia kuhusu kujamiiana uwapo naye
Kama anaongea kwa kujiamini na ana uhuru wa kutaja mambo mbalimbali yanayohusu kujamiiana kama mkao anaofurahia zaidi wakati wa kujamiiana, vifaa...
Wakuu nyumba yangu ni chungu sana kama umeona uzi wangu wa awali nilieleza juu ya wife kukuta bikini ya mdogo wake chumbani kwetu sasa niwape na mkasa wa beki tatu ambao ulitokea wiki mbili kabla...
Nimabahatika kupitia walio wengi (sijikwazi). Nilichokigundua ni kwamba wadada wa siku hizi huwa hawavai shanga kabisa.Yaani utamaduni wa kuvaa shanga kwao umetoweka kabisa. Nashindwa kujua...
Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kutafuta mchumba mtandaoni, je huko aliko hakuna/hakutani na watu?
Ila nilichokuja kugundua wengi wao ni wale ambao walishindwa kutumia fursa...
Wadau habari za Leo, natumai wote mko vizuri,
Nilileta uzi uliosema; Mke wangu kalipendea nini hili jitu?
Li jamaa hili ambalo hili binamu yangu ambalo lilitoka mkoani na kufikia kwangu lilikuja...
Naomben mnishauri jaman kwa mahusiano haya niendelee kukaba au niachie ngazi
Iko hv
Mi Nina 30yrs. ....mpenz wangu ana 31yrs...tupo katika uhusiano ni miez Michache tu tangu tuwe na...
Habar Zenu
Kuna katabia kachafu sikapeeendi
Nakerekwa sana na yule mtu ambaye anajitia anamoooooootoooooo wa kumuacha mwenzake tena hapo ukiangalia kosa halifananii kupewa adhabu hiyo
Ukipita...
NB hii story nmecopy mahali
COPY AND PASTE
mimi ni kijana nimehamia hapa niktokea mkoani ni kama miezi miwili sasa
mimi na mama mwenye nyumba tunaishi pamoja nyumba moja ina pande mbili kwahiyo...