Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

Ni hasira au hana mapenzi ya dhati

bobtama

Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
11
Reaction score
4
Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee ila akamchunia. Kwavile alishamtolea barua ikabidi aende kwa mama yake mkubwa, mama yake alimwita huyo binti na rafiki yangu wakaongea ila alichoamua yule binti ni kusitisha uhusiano sasa ni sawa au ni hasira tu za binti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anamtafutia sababu na keshaipata. Dawa ni kuachana nae
 
Hajaumaliza ujana bado, uking'ang'ana nae utatombewa live live
 
Rafiki yangu huwa anakuja kuniomba Ushauri na nimuonavyo anampenda huyo nilicho mshauri amuache kwanza apunguze hasira zake akitulia kama ni hasira tu atamrudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi kuna mengi hadi kafikia uamuzi huo

Madame S
 
Wanawake bhana..hapo ukute kashapata mwingine anayedhani ni bora zaidi ya huyu aliyenaye sasa
Yani baada ya kuwa busted anajifanya ana hasira,za nini sasa?

Mwambie jamaa yako aachane naye tu,ile barua aliyoitoa kwa kina mwanamke aifate akaichane

Kutoka kwa wahenga 'mkataa pema,pabaya panamuita'
 
Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee ila akamchunia. Kwavile alishamtolea barua ikabidi aende kwa mama yake mkubwa, mama yake alimwita huyo binti na rafiki yangu wakaongea ila alichoamua yule binti ni kusitisha uhusiano sasa ni sawa au ni hasira tu za binti

Sent using Jamii Forums mobile app
SAWA KABISA Heri kuvunja uchumba kuliko ndoa
 
Chakushangaza ni kwamba huyo binti siku hizi amekua mnyonge sana kwao haongei na mtu mana mama yake mkubwa huwa anamwambia alichoamua si sahihi kuna alimwambia mama yake mkubwa kuwa anaona aibu hataki watu wengine wajue kilicho tokea .Ni amepeta mwengine au hasira au amebadili uamuzi wake wa kuwa na rafiki yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa miaka 2 siku 1 rafiki yangu alipata wasiwasi baada ya kuona sms za mpenz wake akichat na mtu mwengine ikabidi amuulize mpenzi wake.Alippmuuliza mpenz akakasirika kuwa kwanini haaminiwi wakachuniana baada siku chache rafiki yangu alimfata ili waongee ila akamchunia. Kwavile alishamtolea barua ikabidi aende kwa mama yake mkubwa, mama yake alimwita huyo binti na rafiki yangu wakaongea ila alichoamua yule binti ni kusitisha uhusiano sasa ni sawa au ni hasira tu za binti

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndugu ana mushkeli na hicho anachokifanya ni kujihami na huyo ni mshenzi kabisa keshapata kajamaa kakumzuzua na ndio sababu anakimbilia kusitisha mahusiano. Mwambie jamaa asing'ang'anie. Anyoshe mikono juu maishe yesonge mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom