Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi naitaji wife material nipo serious kbsa vigezo na mashart kuzingatiwa umri wangu ni miaka 30 ni muajiriwa kwenye private sector.so mwanamke ninae mtaka lazma awe na umri kuanzia miaka 29 mpk...
0 Reactions
7 Replies
940 Views
The best relationship is when you two can act like lovers and best friends at the same time. It's when yot have more playful moments than serious moments,,,, It's when you can joke around, have...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Hivi inakuaje mume anasafiri anaacha vitu vyake chini ya uangalizi wa rafiki wakati ana mke wa ndoa kazaa nae na watoto? Mke ana mtoto, ni mwajiriwa na anajiendeleza kielimu. Wana magari mawili...
7 Reactions
145 Replies
13K Views
Never go and dig it, Just go and pick it, Avoid making a mistake, Coz really you won't gent it. Since they want to be picked, So they like to be naked, For pickers to be attracted, By their...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mama mzee asimulia kisa cha kweli "kizuri" Asema; nilikua na watoto watatu na wote wameoa basi siku moja nikamzuru yule mkubwa na nikataka nilale kwake, ilipofika asubuhi nikamwambia mke wake...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Siku hizi kuna hii tabia imezuka ya wanaume kupenda sana ziro na wanake kujiona wajanja wanapogawa ziro. Siku hizi kwenye ndoa ziro imekuwa ni dili sana. Unakuta dume na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sabalkheri wanaJamii Forums?. Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Ifuatayo ni orodha ya sifa za Wanawake waliopata kuishi kabla na hata baada ya Kristo. Ukizisoma sifa hizi utajifunza mengi...
2 Reactions
1 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF, Unapokuwa na mpenzi wako au rafiki, ndugu wa karibu akiwa ananuka sana kinywa (mdomo), ni jinsi gani ninaweza kumwambia juu ya tatizo lake ili kuweza kutatua tatizo? Nina...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Kuachwa na mpenzi kwa sababu umekuwa ni muaminifu sana yaonekane ni jambo lisiloingia akilini lakini linatokea. Moja ya mambo ya ajabu unayoweza kuwa ushawahi kuyasikia ni kwamba mara nyingine...
6 Reactions
139 Replies
16K Views
Habari wana jamvi. Niende direct kwenye mada, ivi ni kwanini ukiwa na manzi ndani alafu mmelala wote ile umeamka asubuhi na umetimiza wajibu wako wa kupiga morning glory sasa wakati unataka utoke...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, Jamani mimi ninajambo halinifurahishi kabisa sijui kama na wewe umewahi kughafilika juu ya hili swala. Kumekua na tabia/Tamaduni ya unapotaka kuoa kama mwanamke ni...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Salaam wadau Huyu wife wangu jana amenishangaza na tabia moja hivi ninavyoandika bado nipo na hasira kama nitakua nakosea kuandika basi mtanisamehe, Huyu wife mwenyewe najua ana shanga mbili tu...
39 Reactions
259 Replies
26K Views
Habari wana JF,
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Za leo, Nimechunguza kwa undani na kwa makini katika swala la ndoa. Kwanini wajane ni wengi sana wanaume hutangulia kufa tatizo huwa mawazo mengi ya kulea familia au kutarajiana katika ndoa, au...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Subaha ka Salam Watanzania wenzangu, Tumshukuru M/Mungu pamoja na matatizo mengi tunayosongwa nayo ya kijamii, kisiasa, kisaikolojia na kiuchumi lakini bado tunavumiliana, bado tunasikilizana...
20 Reactions
185 Replies
14K Views
Naomba msaada tafadhali, Nahisi ninamatatizo ya kisaikolojia, tangu nidate na binti mmoja hivi kwanza kabisa nilikua napenda sana kila nachofanya nae nakuja kuandika huku napewa ushauri...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mie dada yenu ntatia timu hapo oasi wiki iyayo ukaribisho tafadhali
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika ikitokea mmojawapo wa hao akina mama amejenga urafiki na kijana mpangaji ambaye ni barchelor atazushiwa kila aina ya ovu. Wanawake ni wa ajabu sana hawapendi kuona mke...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
God is great kwakweli. As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me. He gave me a gently and wonderful man ever met before. We are in the early stage of malovee but...
12 Reactions
332 Replies
24K Views
Salaam nyingi Jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe Ghafla...
4 Reactions
239 Replies
40K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…