Wanawake wengi wanaoishi nyumba za kupanga wanaoneana wivu sana kwa mwanaume ambaye hajaoa katika nyumba hiyo

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Ni ukweli usiopingika ikitokea mmojawapo wa hao akina mama amejenga urafiki na kijana mpangaji ambaye ni barchelor atazushiwa kila aina ya ovu.
Wanawake ni wa ajabu sana hawapendi kuona mke mwenzao asaidiwe chumvi au mafuta,acheni wivu usio na tija
 
Mkuu Kama unagegeda hao wa mama wapangaji mwenzio kuwa streitiii tuu, mabachelor wa ukweli hatunaga chumvi na mafuta maghetoni kwetu labda chupa za Balimi tuu na condoms.
Kweli kabisa, bachela na chumvi tangu lini???
 
mi nilikuwa nawagegeda kila mmoja kwa wakat wake na bila kujuana nilivyo hama hapo ndio wakaja kujua bdy baada ya mmoja wao kusema jamaa amenila sana afu kahama kmyakmya bila kuniaga walikuwa wa3

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu nami niliwala sana tu, ukiwa msiri huwa hamna shida utakula tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom