Nifanyeje nimuache nisimfuatilie tena?

Nifanyeje nimuache nisimfuatilie tena?

anah

Senior Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
102
Reaction score
46
Naomba msaada tafadhali,

Nahisi ninamatatizo ya kisaikolojia, tangu nidate na binti mmoja hivi kwanza kabisa nilikua napenda sana kila nachofanya nae nakuja kuandika huku napewa ushauri nikaachana nae ni mwaka wa pili sasa lakini natamani kumtusi tuu na kumkatisha tamaaa mda wote.

Nisaidieni jamani nawezaje kumove on nimuache nisimfatilie binti wa watu nafatilia mawasiliano yake namtukana humu JF bila sababu natumia watu wamtongoze ili nimkomoe sijui nimepatwa na nini.

Naumia sana sina mda wa kuenjoy na familia kila mda nawaza nifanyeje nimkomeshe aumie mimi ni mwanaume hili jna lisiwachanganye atakae tukana ILA NAWASHAURI MSICHEZEE MABINTI WA WATU KWA MATATZO NAYOPATA SIMSHAURI MTU
 
Hahahahah,...tafta mkali zaid yake,au piga puli kupitia picha zake,kwan hukuwai kumrekodi,hahahah
 
Naomba msaada tafadhali,

Nahisi ninamatatizo ya kisaikolojia, tangu nidate na binti mmoja hivi kwanza kabisa nilikua napenda sana kila nachofanya nae nakuja kuandika huku napewa ushauri nikaachana nae ni mwaka wa pili sasa lakini natamani kumtusi tuu na kumkatisha tamaaa mda wote.

Nisaidieni jamani nawezaje kumove on nimuache nisimfatilie binti wa watu nafatilia mawasiliano yake namtukana humu JF bila sababu natumia watu wamtongoze ili nimkomoe sijui nimepatwa na nini.

Naumia sana sina mda wa kuenjoy na familia kila mda nawaza nifanyeje nimkomeshe aumie mimi ni mwanaume hili jna lisiwachanganye atakae tukana ILA NAWASHAURI MSICHEZEE MABINTI WA WATU KWA MATATZO NAYOPATA SIMSHAURI MTU
Unahisi bado unampenda?
Maana ni kama bado unamuhitaji sasa kwanini ulimuacha wakati bado unampenda?
 
Karma-has-no-menu.-You-get-served-what-you-deserve..jpg
 
Hesabu faida ulizopata tangu ulipoanza kumtukana huyo Mwanamke. Zikifika mbili, uje inbox nikushauri kitu.
 
vya nini visasi mkuu unajitafutiamatatizo kwani huyo wa ndani anatatizo hadi umkumbuke x
 
aisee mahusiano yakiisha usitukane piga kimya time ikienda mkijakutana tena lazima umle
 
Teh,hiv we ANAH ni dume kumbe? inasikitisha saana
 
Back
Top Bottom