Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wahenga wenzangu habari. naomba kuuliza kama kuna umuhimu Wa kutoa mahali ili kuoa. - nisipotoa nitapata hasara gani? -sheria inasemaje? -nitapata hasara gani?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini Mungu (ni huo uzinzi nilofanya nikabeba mimba?) Nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi...
6 Reactions
123 Replies
21K Views
Jamani muda mrefu nina hamu ya kujaribu kunywa pombe ila naogopa reaction yake isije nitia aibu nikaja fanya mambo ya ovyo. Naonaga tu watu wanywa wachanganya na maji, sitaki shirikisha watu...
1 Reactions
85 Replies
12K Views
Wakuu, Wanaume wengi siyo nadhafi kabisa, yaani hawajui kuoga, kupiga mswaki na hata tu kupaka mafuta vizuri, hasa wale wa mijini ambao hudiliki kusema "wako bussy na mishemishe mjini. Hasa ambao...
5 Reactions
123 Replies
10K Views
Yaani huyu shemeji ana visa huyu. Baada ya kufumania na akajua nimejua, ana wasiwasi sana kaamua kuniita eti tukutane hotel anambie nikasema hapa hapa nambie, akasema "Ninayotaka kukwambia...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
1. Unayevaa mawigi 2. Unayevaa hereni puani 3. Unayevaa hereni zaidi ya mbili kwenye sikio moja 4. Unayekunywa pombe 5. Mpenda pesa 6. Unayeomba mpaka pesa ya pedi wakati hutaki...
27 Reactions
158 Replies
12K Views
Wamalwa Nyongesa mkazi wa Kitale Trans-Zoia Kenya amesemaalikuwa na kesi ya talaka na mkewe mahakamani na mke huyo akapanga kumuua na kutupa mwili wake msituni Jumapili iliyopita Anasema mmoja ya...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari za jioni wana MMU, Nafurahi kwa nafasi hii adimu kuleta thread kwa mara ya kwanza MMU na ya 3 JF, sasa twendelee na mada, Hivi nyie kina dada huwa mnawapenda kweli waume zenu au mnapenda...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Msitufokee mbele za marafiki, inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye, mimi ukinifokea naenda kununua kamba dukani, nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
19 Reactions
88 Replies
7K Views
.
1 Reactions
76 Replies
8K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na mdada ambae kiumri ni mtu mzima lakini katika kupiga piga nae story aliniambia umri wake kwa sasa ni miaka 45 lakini hadi sasa HAJAOLEWA lakini pia kwa umri...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
wakati umefika sasa jamani nahitaji mwanamke wa kutengeneza nae future za maisha. naishi dodoma. mrefu kiasi. mweupe wastani. mwili wangu moderate sio mnene wala mwembamba. nina miaka 25. ukiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepost kuhusu kutafuta mchumba ambaye awe mke,lakn wengi wanaojitokeza wanataka urafiki tu.Mimi ni mtu mzima sitaki ma girl frnd ila nataka mchumba mwenye nia na utayari wa kuwa mke na kufanya...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Ndio hivyo jiulize uwezo wako wa kwenye faraga ukoje je unamridhisha au humridhishi Kipimo cha kujua haya yote kwa mwanaume na mwanamke ni usaliti Ukiona unasalitiwa mara kwa mara na mwenza wako...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari za muda huu wa ndugu, Kuna suala linanitatiza kidogo nahitaji ufafanuzi na kama hiki kimewahi kumtokea mtu mwingine humu ndani. Mimi ni mjasiriamali, kama vijana wengi tulivyo kuwa na...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Bwana Yesu apewe sifa habari za usiku, Tukianza na mada kilichonileta hapa kuna dada nimetokea kumpenda sana kwa kipindi cha miaka mitatu sasa3 sasa mimi ni kijana niliyelelewa kwenye misingi ya...
2 Reactions
113 Replies
10K Views
Nimekuja mkoani kikazi kiukweli katika ofisi niliopo kuna kijana alinivutia na yeye alionyesha hisia juu yangu hadi nikawa namwona nahisi kuloa chini. Uzalendo ulinishinda tukakuta tumeanza...
20 Reactions
261 Replies
31K Views
Natamani kuoa lakini mwanamke ninayemtaka yupo humu humu MMU lakini tatizo lake kubwa anapenda sana pesa, halafu muda wote yupo mtandaoni, je nikimuoa atanifaa? Wadau naomba ushauri wenu
5 Reactions
135 Replies
10K Views
Mamboo ayaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
3K Views
"Hakuna mwanamke mrahisi na hakuna mwanaume mjinga", mwanamke uliyekuwa ukimfatilia miezi 12 bila mafanikio ya kumpata,amelala na mwanaume mwingine baada ya kufahamiana nae ndani ya siku...
10 Reactions
29 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…