Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi mwenzenu tangu ningiee katika ulimwengu wa MAPENZI jambo zitto AMBALO siwezi kulisahauuu, Ni siku ambayo mpenzi wangu ninaempenda aliponitamkia BILA sababu yoyote ilee *SIKU MPENZI WANGU...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
.
8 Reactions
386 Replies
17K Views
Ndio maana wengine hatuogopi kusafiri usiku wa manane kwa kuwa magogo tumeshayazoea... Ni miaka kibao sasa unakuta unalala na 'gogo' kitandani, then utaaanzaje kuyaogopa magogo ya bara barani...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wewe kaka unaejisifia unazini na wadada wengi na kujiona mwanaume kumbe mvulana fulani hivi usiejielewa. Wewe dada unajisifia uzuri wako hadi unasahau hata mama yako alikuwa binti mrembo au hata...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama heading inavyojieleza, Kweli natamani nipate mume wa kizungu, si kwamba siwapendi kaka zangu no ni kwamba niliyekuwa nae kweli amenichosha mpaka nimeyachukia mapenzi ndo maana nataka...
0 Reactions
25 Replies
23K Views
Mimi ni mwanamume ,wasifu wangu ni kama ifuatavyo; Urefu:173cm Umri 32 yrs Job:mjasiriamali Elimu: form4 Dini: Mkristo Colour:mweupe kdgo Body size:average Natafuta mwanamke mwenye sifa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hellow, Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo...
16 Reactions
198 Replies
22K Views
Wana JF hili suala nimelitafakari sana kwa mapana ya uwezo wangu wa kufikiria na experience na kuona kuwa mapambano dhidi ya HIV lazima yaambatane na upatikanaji rahisi wa kondumu za kike kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka mitatu sasa toka nimeachwa, Nashukuru uepo wako kwangu umenifunza nisimuamini mtu maishani, Kupitia wewe nilijua mapenzi ni nini, Mapenzi ukichaa, mapenzi upofu. Kila mipango niliyopanda...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za majukumuu wakuu Naomba niende kwenye maada mm ni kijana wa kiume umli 19 nimejiajili na kazi za apa mjini natafuta rafiki wa kike wakuchat nae kubadilishana mawazo na kupeana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza...
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Imekuwa ni kawaida sehemu nyingi Zenyewe inafanyika biashara lazima uwakute wadada wazuri na wenye kupendeza. na wafanya biashara wanafahamu vyema kwamba biashara ya saizi ni wanawake. Na kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna utafiti nimeufanya haswa kwa sisi vijana wa mjini baada ya pitapita yangu ya hapa na pale. Nimegundua hakuna njia rahisi kwa mwanaume au mwanamke kupata mchumba kupitia vikao vya pombe au...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Beauty lady tested hiv+ age between 18 -30 yrs needed quickly for marriage, pls Pm me if ur interested, also non Hiv+ are welcomed if they r ready to live with me unconditionally am tested Hiv+.
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Unamchukua msichana Unaenda naye Geto unamchezea mpaka Chupi inalowa Kabisha Unamnyonya Maziwa analainika Kama nyanya Masalo. Tatizo linakuja Unaanza Kumvua Chupi mara nyingi mimi huwa navulia...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi, Mimi ni mdada nina umri wa miaka 25 nina shida kidogo nahisi naweza kupata msaada kwenu, mimi niliwahi kuwa na boyfriend tulidumu kwa muda mrefu kama miaka minne hivi sasa...
7 Reactions
122 Replies
13K Views
Habari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi. Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya sehemu za siri kwa wanawake wengi, huku kukiwepo na masomo ya kupotosha yanayosababishia wanawake wengi kutumia madawa yanayozidi kuwaletea matatizo...
3 Reactions
130 Replies
132K Views
Wandugu kuna binti wa kichagga alimuacha mzazi mwenzake aliezaa nae kisa mimi na kumwacha kwa matusi na kejeli za kupindukia akaja kwangu akidai ananipenda sana. Na kusema kuwa mimi amejiridhisha...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
kama kuna kitu nakifurahia na kumshukuru MUNGU ni ile hali ya kuweza kujizuia kumtongoza au kumshinikiza mwanamke ambaye si mpenzi wangu anipe penzi hata kama nyumba nzima tubaki mimi na yeye tu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…