Toragamaganza
Senior Member
- May 28, 2016
- 119
- 94
Miaka mitatu sasa toka nimeachwa,
Nashukuru uepo wako kwangu umenifunza nisimuamini mtu maishani,
Kupitia wewe nilijua mapenzi ni nini, Mapenzi ukichaa, mapenzi upofu.
Kila mipango niliyopanda ulikuja mawazoni kama tutakua wote siku zote
"SINA HISIA JUU YAKO" lilikua neno ambalo ni pigo sana kwangu.
Litaishi kwangu daima. Nilikupenda sana upendo husioelezeka.
[emoji174]
Sent using Jamii Forums mobile app