Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu kuna jimama mmoja hapa mtaaani ni pisi Kali Lina tako kama mahondaw linanitaka kwa nguvu yaani liliolewaga likaachika sasa ni li singo mother linakaa yeye na mtoto wake limekuwa...
14 Reactions
154 Replies
16K Views
Mimi ni kijana umri miaka 26 mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya binafsi ,japo hatujaoana lakin tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi...
5 Reactions
352 Replies
49K Views
Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu Nisaidieni...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu Nina mpenzi wangu aitwaye Zainabu, mwanafunzi wa IFM anayeishi Magomeni. Tumekuwa pamoja tangu form four, na mpaka sasa tumedumu licha ya umbali na pilikapilika za chuo. Zainabu ni...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
4 Reactions
27 Replies
847 Views
Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂...
2 Reactions
3 Replies
380 Views
Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB. Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu...
4 Reactions
19 Replies
851 Views
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela Nikawaza hivi wakina MO au...
19 Reactions
148 Replies
7K Views
Katika harakati zangu za kujitafuta nimesha hamia mitaa mingi lakini kila ninapo hamia kwenye huo mtaa huwa nakutana na vibinti vingi + wanawake wengi pamoja na mishangazi , Ila kila nikijaribu...
0 Reactions
22 Replies
838 Views
Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na...
24 Reactions
144 Replies
16K Views
Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia...
57 Reactions
842 Replies
187K Views
Wakuu Nilikuwa kimya sana Kwa miezi miwili huko ndani ndani ( Kwa wanao fuatilia jukwaa la soka wataelewa) Nimekuwa kimya sana nikifanya research ya uhusiano wa kuoa na kwanini pisi zinakuwa...
1 Reactions
22 Replies
803 Views
Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani...
18 Reactions
82 Replies
3K Views
Salute! Hivi makalio makubwa yana faida gani hasa? Mimi naona kabisa, na sio mimi tu, bali hata wataalamu wengi wanakiri hayana faida kwa wewe mwanaume. Ukipenda sana makalio jitathmini. Aidha...
13 Reactions
402 Replies
44K Views
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo. Ukweli ni kwamba hamna faida...
62 Reactions
569 Replies
184K Views
Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa mnaowajua vizuri wanawake wa kigogo wana tabia gani, mila na desturi zao
0 Reactions
35 Replies
26K Views
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Hello good people. Leo nimeonelea tufanye jambo apa kwa kuwapa somo Hawa wadada wa Leo ambao wanajichukulia special sana hasa kwa hivi vizazi vya 2000 na hiki kipya cha 2010 Hawa watu ni...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…