God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Nimekua nikipita pita sana mitandao ya kijamii kama badoo, instagram na mitandao mingine mahususi kwa lengo la kutafuta marafiki na wachumba nilichokiona huko Mungu atusamehe sisi wanaume maana tumeharibika mno.
Yani kila mwanaume anaetafuta rafiki anatafutwa mwanaume mwenzie wa kumgeuza au kugeuzana.
Inasikitisha sana ndugu zangu.
Watu unakutana nao huko lakini chini ya kapeti ni ahera.
Unapishana na watu walioyaa kiheshima na wanaongea vizuri tuu nawengine wanaponda mashoga kumbe wao ndio mashoga.
Asilimia 97% ni wanaume wanawake hamna kabisa ukibahatisha mwanamke huyo anashida kweli au ni malaya.
Wanaume wenzangu acheni huo uchafu.