Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mkoa wa mbeya naweza pata wapi mwanasaikolojia
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Habarini! Kuna visa na mikasa mbali mbali ya mapenzi na maisha kwa ujumla imeletwa na wanaJf mbali mbali kwa lengo la kuomba ushauri na hata kuonyana lakini kwa bahati mbaya hawajaleta tena...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu nc 6 mimi nina miaka 31 awe mkristo
5 Reactions
80 Replies
15K Views
Hata mimi napenda iwe hivyo siku moja nikifa hata kile kidogo nilichokuwa nacho kiendelee kuwepo. Lakini hiyo imekuwa tofauti sana ktk familia nyingi za kiafrika. Siku akifa mwenye mali nazo mali...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
*INAUMA SANA* Kijana mmoja alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye, alikuwa amezeeka sana, kwenye makazi maalumu ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki. Kijana alifanya hivyo, baada ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Katika uzoefu wa kimaisha nimejikuta nikiamini kuwa mwanamke anapokuwa hodari kwenye mapishi ( haijalishi aina ya chakula) hupata credit kwa mwenza ikilinganishwa na mwanamke...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari wana love connect...... Natafuta mke wa kuoa serious;sifa zangu -Age 29 -Kazi Mwajiriwa -Elimu Degree ya kwanza -Dini Mkristo -Makazi Dar es salaam sifa za mke nimtakaye -Age 20-28...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana jf naombeni mnishauri Hiko hivi mimi kuna kijana nilikua nae kwenye mahusiano ila hatukudumu sana tukaachana na kukata mawasiliano kabisa kwa muda wa mwaka mmoja,sasa cha kushangaza leo...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Baada ya kupiga nyeto huwa nabaki najilaumu sana kwa nini nimefanya jambo hilo, huku nikijiuliza nisipoaacha huu mchezo lazima nipate tatizo la nguvu za kiume hapo baadae na kwa muda huo naapa...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
{bibi wa kidigitali akifanya yake kwenye daladala} Juzi kati rafiki yangu wa karibu sana ambaye naweza sema ni ndugu yangu kutoka na urafiki wetu wa muda mrefu alikutwa na maswaibu ya kusikitisha...
5 Reactions
64 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu! Pata ushauri nasaha kuhusu matatizo ya mahusiano ya aina yeyote, malezi ya watoto, kuacha matumizi ya madawa ya kulevya na pombe,msongo wa mawazo...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nanasi lililoozea ndani… “We tutusa, niaje?” “Poa tu mbe niambie” “Umeshasikia habari za Nicas?” “Hapana sijasikia, kuna nini?” “Upo dunia ya ngapi?” “Aaa si uniambie mkuu, kuna nini?”...
39 Reactions
195 Replies
19K Views
Nilichofanya me nilika chin na rafiki kumuelekeza lakin bado akawa kichwa ngum,me nikafanya kuiba namba ya huyo mzaz mwenzie nikawasiliana nae mpaka kufikia kukutana nae na kuzungumza nae...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Natafuta mchumba umri kuanzia miaka30-35 Awe mkristo (asiwe sabato) Awe na kazi yakumuingizia kipato. Aliyetayali kuwa mume wamtu na anaejitambua nakujieshimu. Nb.sitaki brah brah njooo pm...
0 Reactions
4 Replies
788 Views
Ndugu wanajamii naomba ushauri kuhusu mchepuko na mama watoto wangu,ninapo kuwa na mchepuko kitu kinasimama ile mbaya lakini nanapokutana na mama watoto napata hamu kabisa ya tendo na kitu...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Za Mda huu wadau wa jfgt. Bila kuwachosha nianze Maelezo kwa kifupi.. Kama kawaida ya Vijana wengi tumekuwa na tabia ya kutoka kimapenzi na watu tofauti tofauti.. Kwa upande wangu nimekuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo kwenye mahusiano sasa mwaka wa saba. Kiukweli na kutoka moyoni mwangu nampenda sana boyfriend wangu. Nimekuwa tayari kwa chochote kile juu yake, kila akisemacho nafanya kama atakavyo. Ni...
11 Reactions
212 Replies
18K Views
Sasa hivi imejengeka kuwa tabia kwa wanawake mostly kuanzisha urafiki wa kimahusiano na mtu ila kwa lengo la kujinufaisha kwa mizinga isiyo na mwisho. Unaweza kutana na binti kwenye social media...
2 Reactions
110 Replies
11K Views
Habari za jioni wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni kijana mwenye miaka 26 na sijaoa. Tatizo langu kubwa ni hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara, yani muda mwingi mashine inakuwa...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya mahusiano ya kimapenzi? Professor akasema "ili niweze kukujibu swali lako nenda kwenye shamba kubwa la ngano na uchague...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…