Amani iwe nanyi wana wa Adam,
Pasi na kupoteza wakati ndugu zangu, hivi karibuni ninapoishi alihamia mpangaji mmoja Bachelor, japokuwa ana mtu wake huwa anakuja mara moja moja, basi kama kawaida...
Wewe unayefikiri kugegeda mke wa mtu ni ujanja, ujue umepungukiwa na akili...
Ulaaniwe na kila mwenye akili timamu, kwakua umewaza mambo yakusogezayo karibu na kifo, aibu na sononeko la moyo...
1. Jitaidi sana uwe unamrizisha kitandani
Vyovyote vile ila hakikisha anarizika na kufurahia tendo na wewe
2. Tafuta pessa kwa bidii. Zinaweza kukukataa mwanzon lakini ukigundua wapi kosa lako na...
Kumeibuka na wimbi la madadali wa malaya kwenye instagram na wanapata ma-followers mpaka laki na zaidi lakini wengine wao ni madalai feki. Kwa wastani wanatoza kuanzia shilingi 5,000 mpaka 10,000...
Nimekaa tu nimetafakari na kupenda kupata kaushauri kidogo.
Why, kwenye mahusiano mfano.Una mpenzi A wa siku nyingi.Inatokea mnakoseana mnagombana. Sasa inafikia basi kila MTU njia...
Hello wadau,
Husika na kichwa cha habari hapo juu!
Napenda kuweka sawa hili kuondoa utata kwa baadhi ya watu
Nimekuwa nikiandika hapa maandiko yangu kuhusu saikolojia na maisha, ukweli ni kuwa...
Naitwa Aboubakar Khamis Salim umri wangu ni kati ya 28-33
Ninaishi zanzibar
Elifu yangu ni Diploma ya informtaion technology na diploma ya business Administration.
Ninatafuta mchumba mwanamke...
Wana Jf,
Kuna kitu kinanishangaza sana, hapa kwangu nina ufagio ule mrefu kwa matumizi ya nje sasa nashangaa kuna jirani yangu ni mtumishi wa umma lakini sasa hataki kununua fagio nikifagia...
Wakuu habari za usiku,
Nahitaji msaada wenu wa ushauri,
Miaka minne iliyopita nilimpa mwanamke fulani ujauzito mkoani Tanga, kutokana na pilikapilika zangu utafutaji kipindi hicho sikuweza...
Habari za muda huu ndugu na jamaa
Bila ya shaka kila mmoja wetu anajua kuwa tunaishi katika ulimwengu ambao vitendo vya ngono vimeshika hatamu......
Katika nyakati kama hizi ni rahisi sana...
Habar wakuu?
Hivi karibuni natarajia kwenda ukwen kujitambulisha... Lakini nina hofu sana sipati picha iyo siku itakuaje.
Nataka nipate uzoefu kutoka kwenu. . .kwa mlio pitia hii hatua...
Rafiki yangu kanipigia simu muda si mrefu anadai amemkuta aunt yake ambaye ni muathirika wa gonjwa la ukimwi akiwa anamlisha mtoto chakula anachokula yeye teena kwa kutumia kijiko hichohicho...
Kuna Mdau wangu mmoja ambaye ni ' Fundi ' sana wa ' Kuwabandua / Kuwangono ' Wanawake Wanene ( Mapipa ya SIMTANK ) huko nyuma aliwahi kuniasa kwamba kama ikitokea nimemtongoza ' Demu ' mnene na...
Pole na majukumu wanajamvi,
Katika pita pita kwenye maofisi kuna kitu nimekiona unakuta secretary muda mwingi yuko ofisini anamuhudumia boss wake kuliko muda ambao anakaa na familia yake na...
*Kutoa mimba ni nini?*
Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.
Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za...
Last week asubuh wakati nimeanza mihanjo kusaka minyako nikawa anmejiongeza katika folen mitaa ya kwetu nikianza kutafuta barabara kuu kuelekea katikati ya Jiji. Hamadi hivi kuna Kibajaji kimepaki...
Kwa kawaida wanawake wanapenda sana kuingejiwa na wanakuaga na mbwembwe hao. Akishavalishwa pete basi kila siku atakua anajidai anapost kucha zake snapchat kumbe tu anataka muone kapete kake na...
Ahahahaaaa,
Hellow wakuu,
Wale wenzangu na mimi tusio kuwa na magari, tunao ishi kwa kuunga unga karibuni tupeane ushuhuda na mbinu za kuwanasa watoto wakali, huku tukipambana na hali zetu...
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu katika uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano...