KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
1. Jitaidi sana uwe unamrizisha kitandani
Vyovyote vile ila hakikisha anarizika na kufurahia tendo na wewe
2. Tafuta pessa kwa bidii. Zinaweza kukukataa mwanzon lakini ukigundua wapi kosa lako na kujua kutumia hella vizuri utazipata tena nyingi tu
3. Mpende ila usimuoneshe upendo saana. Yaan be yurself. Furahi mda wa kufurahi ila kasirika pale i apobidi tu.
Usilazimeshe maongezi ila jitaidi unamtafta na kumuonesha unamuwaza ( ila sio sana)
Maana akikosa kimoja wapo lazima atatafuta pa kukipata