Je, utajuaje kuwa mpenzi wako ame kufanya sex machine/sex tool?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,132
32,831
Habari za muda huu ndugu na jamaa


Bila ya shaka kila mmoja wetu anajua kuwa tunaishi katika ulimwengu ambao vitendo vya ngono vimeshika hatamu......

Katika nyakati kama hizi ni rahisi sana kugeuzwa kuwa chombo cha starehe bila ya wewe kujua.....maana unaweza ukatumika kutimiza mahitaji ya mtu kingono katika pazia la mapenzi.......

Yafuatayo yanaweza ku kusaidia kujitathmini na pengine kufanya maamuzi magumu ili kuwa huru au na wewe kunufaika na muunganiko huo.......

1) Ngono ndio kipaumbele chake

Ngono huimarisha mahusiano lakini Ngono ina kiasi chake......kwa maana ya kwamba kuna maisha mengine nje ya Ngono.....mpenzi aliyekuja kwako kwa ajili ya ngono....hana muda wa kujadili na wewe mambo mengine ya msingi zaidi ya ngono na kusifu maungo yako muda wote......na kuongelea au kusifia mambo yenu ya chumbani kila mnapokutana....hata katika mazingira ambayo hayahusiani na mambo hayo......

2) Anakuwa bize na wewe wakati akihitaji Ngono.....

Kama ambavyo mtu anatafuta chakula akiwa na njaa ndivyo na yeye atakutafuta akiwa na hamu na ngono

3) Mnakutana kwenye nyumba za wageni muda mwingi......

Kwa kuwa ndio kilicho mleta kwako.....hivyo lazima aandae mazingira ya kutimiza adhima yake

4) Hakushirikishi kwenye mambo yake mengi......

Hahitaji kufanya kwa kuwa mpango wenu ni Ngono tu......

5) Hana mawasiliano ya karibu na wewe....mpaka akitaka Ngono

6) Anafurahia sana maongezi ya ngono na wewe na ndio hutawala maongezi yenu.....

NK

NAWASILISHA
 
Ila that thing is awesome aisee tuache utani.
Ule ushibe vizuri huna stress, lazima mguu wa tatu uanze kupiga mazoezi mubashara.
Sasa ndo uwe na mtoto wa haja na asie na pozi kunako 6x6 lazima umparamie kwa speed ya Bombardier
 
Back
Top Bottom