Kuna mdada gani sasa hivi hana kisirani?
Kuna mdada gani sasa hivi agombani na mmeo hata kama sio physical mnaenda round saikolojiko?
Its 2025, bado kijana anawaza ukabila wa mademu.
Mademu wa...
Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila...
Ndoa nyingi sasa hivi zina mgogoro sana, unakuta wanandoa wengi hawana maelewano mazuri, tofauti na ndoa miaka ya nyuma watu walikuwa wanadumu kwenye ndoa miaka mingi pasipo ugomvi wala matatizo...
Jamaa ana pesa, nguvu ya ushawishi, vyombo vyote vya dola kaviweka mkononi.
Sasa umegundua anatembea na mkeo umejaribu kumkanya mkeo, mkeo anakujibu ukifanya lolote bwana mapesa atakupotezea...
Wakuu,
Nimekuwa nikibubujikwa na machozi ya huzuni sana kila nikifungua jf jukwaa la MMU nakutana na mada za vijana wadogo wakiwa wamechanganikiwa na mapenzi,utakuta mwingine anasema nimfikishe...
Hell
Ni inachukiza sana mtoto wa kiume kamaliza form six kuoga mpaka umsimamie nenda kaoge na maji ana weka nusu ndoo hapo maji ya moto aoge mtoto nusu ndoo
Kufua mpaka umsimamie fua nguo usipo...
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na...
HIZI NI SIRI AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni...
Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani.
Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German...
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha...
Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta
Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu...
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu...
Kipindi cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa sana miguno yaani show inamchanganya kiasi cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha...