Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu waungwana, Tuwe makini sana na mashoga hasa sisi baadhi wanawake tunaowapa siri zetu shoga zetu, siri zako mpe mzazi wako na kama mzazi hayupo hai kama wangu basi bora jifunze...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu wale wadada wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua mzigo ila kipindi...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habarini Wadau, Sitamsahau mpenzi wangu mmoja wa kijijini wa kipindi kile cha chuoni mwanzoni...ana jina la kiasili kabisa la usangini akiitwa Nafikahedi ( ana jina lingine rasmi) KIUKWELI Mimi...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa...
2 Reactions
108 Replies
12K Views
Serious napenda sana wasichana wembamba,Mi wowowo siyo kitu,skinny girls hata sita kwa sita dah naona nimegusa penyewe,kiuno kadogo,wowowo kadogo ya kishikaji hata akibinua unaenjoy,kifua kadogo...
42 Reactions
345 Replies
30K Views
Wakuu salaam Kama mada inavyojieleza, huyu mdada nimemchoka sasa lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia ukweli. Alikuwa mpenzi wangu mwaka 2010 then tukaachana pasipo kuambiana kama tumeachana...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Mkasa huu umenitokea leo asubuhi, mchumba wangu ana kawaida ya kunitembelea wikend kunisaidia kufanya usafi na shughuli nyingine. Kila akija nimekuwa na mazoea ya kupekua simu yake na kwa kuwa...
5 Reactions
93 Replies
9K Views
Hi guys.. Kuna Dada nampenda ila saivi hataki tena mawasiliano na mimi.. Na hii imetokana kuna wakati akihitaji sex na mimi lakini kwakuwa nilikuwa mbali na sikutaka ajue nikawa nmpiga chenga...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nakumbuka enzi hizo nikifanya kazi ya ukonda na uchecking barabara ya Mwanza -Musoma ilikuwa ni hatari kupata wasichana wakali hasa wale waliokuwa wanatoka mbali wakifika stand wanakuganda mpaka...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Walee watu wazima wenzangu,ambao tunauenzi uanaume wa kiafrika,maana mwanaume wa kiafrika kuwa na "nyumba mbili au tatu" ni jambo la kawaida sana. Ukikuta upo na mwanaume na hujawahi kugundua...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwenye bar sisi watu wa nyagi tulikuwa tunatengwa sana. Sasa hivi kiwanja ukiangalia meza ni mwendo wa nyagi na serengeti right. Hata kwa maduu! hata salamu tunapa sasa. Ni hayo tu. J2 njema wakuu.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Viashiria mtu uliyenaye kwenye mahusiano anakupenda kweli. 1. Anakuita kwa jina gani mkiwa kwenye mazungumzo ya kawaida 2. Je mkitembea kwenda mahala huwa mnaongozana au anakutanguliza mbele...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Ama kweli waswahili walisema "mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba. Kuna lidada limoja siku nyingi tunazinguana huku Town.mara nyingi tunakula wote lunch linafanya kazi ofisi flan huku posta...
19 Reactions
113 Replies
15K Views
Huyu demu nmemjua kama siku tano tu hivi, nilikutana naye stationery fulani hivi hapa Dar, nmekuja kikazi kama kawaida ila umeme ukakata hapo ofisini kwetu na generator likawa linasumbua nkaona...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
Namtafuta mpenzi. Naishi moshi - Kilimanjaro. Aje PM, nina miaka 28. Awe Ready kupima na kutumia condom mwanzo mwisho. Karibu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba nilete mrejesho wa ushauri wenu, Ni majuzi nilifungu uzi hapa, unaosema hivi Mke mwenye wivu uliopitiliza nilipitia kila coment ya mtu wengi walinambia huyo atakua anakusaliti...
6 Reactions
84 Replies
9K Views
Habari za usiku Ndugu zangu katika kristo! Tumeona Nyuzi Nyingi zenye kuponda labda uhusiano wa kimapenzi kwamba is just like kudanganyana na haina haja ya ya ku keep serious kwa kisingizio cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili, linaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Katika Maisha ya mapenzi kama mdada umeshawahi kudate na mme wa mtu lazima kuna maneno ya uongo umeshawahi kuambiwa na huyo mme wa mtu ili uendelee kutumikishwa kimapenzi. 1.Tungeonana mapema...
9 Reactions
235 Replies
21K Views
Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa. Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo...
15 Reactions
125 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…