Bado nampenda ila hataki mawasiliano na mimi

Bado nampenda ila hataki mawasiliano na mimi

Kijaaa

Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
26
Reaction score
38
Hi guys..

Kuna Dada nampenda ila saivi hataki tena mawasiliano na mimi.. Na hii imetokana kuna wakati akihitaji sex na mimi lakini kwakuwa nilikuwa mbali na sikutaka ajue nikawa nmpiga chenga lakini siku nilipo rudi na kumtafuta na kumwambia ukweli hakutaka tena mawasiliano na mimi and am bado namhitaji nifanyeje Guys
 
Penda mwingne mkuu
Uko sahihi sana lakini Je na huyo nitake mpenda akija zinguà huoni ntakuwa siko katika mapenzi sahihi maana nahisi ni bora nitafute suluhu na huyu kuliko kuhama
 
Umeponzwa na uongo wako.

Huyo huenda alisha pata mwibgine na alimkaza kisawa sawa. Wewe hawezi kukukumbuka tena
 
kwa nn ulimdanganya?
Nilidhani niko sahihi nikitegemea nikimwambia naenda sehem huwenda angebadili akili yake nakuona naenda kutokomea huko maana kuna kipindi alinivumilia kwa miaka 3 na niliporudi akupenda tena niwe mbali nae

So ilipojitokeza Safari nyingine sikutaka ajue sipo karibu nae
 
wanawake huwa wanapenda kuelezwa ukweli mm hat hat nikimbiwe na Toto la kichaga kisa alinimbie nimtumie vocha ya elfu 5 nikamwambia poa ...sasa nilikuwa porin hakuna hata sehem ya kutuma baada ya cku 3 nikamtumia alikasrika nikmueleza nilkuwa porin WAP,,,akiniambia wanawake hatupend kudanganywa,,,so cku nyingne mwambie tu
 
saa sita na dakika kumi na tatu usiku huu unalia na mapenzi tafuta vidonge vya usingizi meza ulale
 
Uko sahihi sana lakini Je na huyo nitake mpenda akija zinguà huoni ntakuwa siko katika mapenzi sahihi maana nahisi ni bora nitafute suluhu na huyu kuliko kuhama
mwenzio kisha hama
 
Hakuna sababu ya kulialia kisa mapenzi,mkuu akizingua chukua mwingine,mademu wapo wengi tu tena wakali..
 
Back
Top Bottom