Ma-manzi wa Dar na fake lifestyle

Ma-manzi wa Dar na fake lifestyle

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
1,023
Reaction score
1,979
1264969dd79127f75899310107689f6a.jpg

Huyu demu nmemjua kama siku tano tu hivi, nilikutana naye stationery fulani hivi hapa Dar, nmekuja kikazi kama kawaida ila umeme ukakata hapo ofisini kwetu na generator likawa linasumbua nkaona nikaprint report zangu nje.....nmemkuta pale kama mteja nikamsalimia na akaonesha interest kwangu tukachangamkiana akanambia anasoma IFM....basi nkachukua namba tukawa tunachat...

Kwanza nikagundua kuwa sio msomi kutokana na jinsi anavyoandika sms zake, pili hata sijamtongoza kapiga na mzinga.....duh [emoji23][emoji23][emoji23] kabisa anadanganya

Wadada mkiwa na njaa at least uje taratibu, na sisi sio kwamba tunavutiwa na nyie mkiwa mnasema mnasoma vyuo....lengo la kumtongoza limeisha.....
 
Na hapo anataka hyo pesa wakati mimi natumia Tecno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mamaee mm mpaka mwanamke anichune itabidi atumie timing nying sana kama kumpiga kobe kabari

hapa leo kuna dem nimempigia tu kaanza kunitangazia shda nimtumie 50k sio kama sina hela sema hua si entertain mwanamke anaeomba pesa kizembe bila sababu
 
Kishakujua ww mwanaume wa mkoani
Mkuu natokea mkoani kabisaaaa....na huwa tunajulikana kabisa sijui kwanini....nina mifano hai mingi sana huwa kila nikija Dar hata nikikaa Bar nashangaa narukiwa na warembo mara atauliza hiki kiti kina mtu au vipi.....na hapo kuna wengine viti vingine vitupu...au sijui tunavyovaaga suits za mikoani na joto lile Bar na hapo unaonakana umeshushwa na 'SU'
 
Hapo kakutajia yupo central halaf ww ukamuuliza kituo gani akajua ww kolo hapa town anataka kukuumiza [emoji23][emoji23]
 
Sio wanawake wote wana njaa kiasi hicho mkuu. Nadhani kuna alivyoviona kutoka kwako ambavyo ndio vilimshawishi na kuona kwamba hawezi kosa kitu.

Ila yataka moyo aisee. Ndugu wapo watu wa karibu wapo unaanzaje kumuomba pesa mtu usiyemjua aisee.

Pia upande wa pili wa shilingi kama unacho msaidie tu mkuu ili babake apate kutoka huko aliko. Hahahaaa.
 
Usawa huu mkuu pesa haitoki kirahisi namna hivyo pambaneni tu na hali zetu dadeki
 
Sio wanawake wote wana njaa kiasi hicho mkuu. Nadhani kuna alivyoviona kutoka kwako ambavyo ndio vilimshawishi na kuona kwamba hawezi kosa kitu.

Ila yataka moyo aisee. Ndugu wapo watu wa karibu wapo unaanzaje kumuomba pesa mtu usiyemjua aisee.

Pia upande wa pili wa shilingi kama unacho msaidie tu mkuu ili babake apate kutoka huko aliko. Hahahaaa.
Haa haa haa yan sku ya kwanza tu
Mnakutana na baba kakamatwa unaingia
Akiln kweli
 
Dah.... Kila mwanaume anapenda kuwa na mwanamke.... akiwa na vitu viwili.....stamina na pesa.... Ukikosa kimoja wapo lazima uje ulielie hapa[emoji87] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom