Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa hz
1. Awe chini ya miaka 27
2. Awe mkristu
3. Asiwe anatumia kilev chochote
4. Asiwe too much bonge
5. Awe na level ya elimu kuanzia form 4 mpaka chuo kikuu
Hello guy's, kwa kifupi mimi ni girl na ninavinyweleo vingi sana mwilini hasa mikononi na kwenye miguu na vinanikera sanaaaa, naskia kuna dawa ya kuviondoa visiote milele but im not sure. Nipo...
Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. Umri 20-30, Dini Mkristu
Sifa zangu :
1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree mbili, mwajiriwa.
3)...
Salaam wakuu
Kama mada inavyojieleza
Hivi ukimkuta binti kakaa kwenye kiti lakini baada ya muda anapoinuka unagundua makalio kaloa ,hiyo inatokana na jasho au nini hasa kinamlowesha??
Ni muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya hili suala.Mtu mwenye jinsia mbili yaani "ke" na "me" anawezaje kuwa na mahusiano ikiwa sehemu zake zote za siri zinafanya kazi?Suala la kuoa au kuolewa...
Naamini wote wazima,
Twende kwenye pamoja mimi nina mwanamke ambaye nipo nae mwaka mmoja sasa toka tuwe mtu na mpenzi wake sasa leo yamenikuta mpenzi wangu ana kaka yake ambaye mtoto wa mjomba...
Utasikia mwanamke ana jinsia mbili lkn sielewi kama kweli huwa ni jinsia mbili au anakuwa na jinsia ya kiume pia.Nadhani huwa wana jinsia ya kiume lkn muonekano wao huwa ni wa kike,kiukweli huwa...
Nasikia ili uishi nao vizuri lazima ujitoe ufaham.
Wengine wanasema uishi nao kwa akili.
Naona ni pasua kichwa zaidi ya kipusa, au kuna walio EXCEPTION?
Wana MMU mpo?
Jamani mm mwenzenu nina boyfriend wangu ila tabia zake zinanitia vichomi.
1. Huyu boyfriend kila tukiwa pamoja hapendi kunishika mkono wakati tunaongozana nilivomwambia...
Sherehe za Harusi na send off ni utamaduni unaowanyima furaha wahusika.. wengi wanakonda kwa stress za kufanikisha sherehe
Habari wadau, kwa kuangalia ndugu, jamaa, na marafiki zangu, wengi wao...
Salaam JF
Wapo wanaosema nimebadirika sana
Wengine wanasema nalinga sana
Wengine nimeshatiwa tunduni na limbwata
Ukweli ni kwamba toka nioe, Priority zangu zimebadilika sana.
Mitoko...
Wana JF
Hivi ukimtongoza msichana halafu unamuomba mahusiano yakiwa mazuri mtafika mbali hadi kuoana, na unapoomba umuoe halafu yeye kabla ya kukujibu anataka ajue kwa undani kuhusu pesa...
I met her in 2003 at Bwawani Hotel in Zanzibar. She was dancing with the man I waved at and she came over demanding to be introduced. I was her bro-in-law's girlfriend and she gave me a hug and...
1.*CHINI YA MAZIWA*
```Chini ya maziwa huwa kuna uchafu fulani unakaa pale hususan kwa wanawake wenye matiti makubwa au yaliyolala.
Jitahid unapooga kuyainua na kuyafanyia sasambu kwa kuyasafisha...
Hamjambo wakuu,
Naenda moja kwa moja.
Baada ya kuona wanaume wengi wanapata wake chenga na wanawake kupata waUme bogas like (bogas contractors in PJM voices) kuumizana kimwili na kihisia...
Nimewaza tu na kuona wasanii wakiimba wimbo wa kukera na dharau kwa wapenzi wao wa zamani. Matendo hayo yapo hata mtaan watu wakiachana wanatoleana siri za mwenzake mbele za watu.
Leo tutoe maoni...
Habari wanajamii,
Kama caption juu inavyojieleza,
Natafuta rafiki wa kike, rafiki ambaye atakuwa kioo kwangu na mimi kioo kwake, rafiki mwaminifu mwenye upendo na nidhamu ambaye tutaweza...