Nimemkuta mpenzi wangu na mwanaume mwingine

Nimemkuta mpenzi wangu na mwanaume mwingine

tzmuya

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
86
Reaction score
26
Naamini wote wazima,

Twende kwenye pamoja mimi nina mwanamke ambaye nipo nae mwaka mmoja sasa toka tuwe mtu na mpenzi wake sasa leo yamenikuta mpenzi wangu ana kaka yake ambaye mtoto wa mjomba yake.

Sasa siku kazaa za nyuma mpenzi wangu aliniambia kua kaka akikuuliza mmeachana mwambie ndio kutokana hali ya nyumbani sitaki ajue basi nilifanya hivyo sasa kila nikukutana na kaka yake ananiambia kua dada anatoka na mshikaji mshua mmoja ivi.

Hata kama na mimi ni mtoto wa kishua nikawa mamuita nikiwa moyoni naamini kua ni uongo sababu anatabia ya uongo uongo sometimes.

Sasa leo kanifuata na pikipiki kanambia oya twende kwa shemeji nikabebe hela kuna hela ninashida nayo nimemuomba anisaidie ameniambia nikachukue kwao twende na wewe ukamuone maana si unanibishia basi tukaaza safari ya kuelekea kula hatimae tukafikia tukakutana na mshikaji duh aisee!

Hasira ilinikamata sema ndio hivyo kiumeume nikajikaza nikatoa hai pale freshi jamaa katoa kufika pale oh shemeji nini na nini si unajuaga ukikutanaga na shemeji yako mbwembwe basi akapewa ile hela tukaondoka.

Kwakweli huyo mwanamke nilimpenda sana tena sana nimerudi home kichwa kinaniuma lakini nimejikaza tu kuandika huu uzi ili nipate ushauri nifanyeje maana bado hata sijamtimia SMS wala kumuuliza wakuu.
 
Namini ote wazima twende kwenye pamoja mimi nina mwanamke ambaye nipo nae mwaka mmoja sasa toka tuwe mtu na mpenzi wake sasa leo yamenikuta mpenzi wangu ana kaka yake ambaye mtoto wa mjomba yake sasa siku kazaa za nyuma mpenzi wangu aliniambia kua kaka akikuliza mmeachana mwambie ndio kutokana hali ya nyumbani sitaki ajue basi nilifanya hivyo sasa kila nikukutana na kaka yake ananiambia kua dada anatoka na mshikaji mshua mmoja ivi ata kama na mimi ni mtoto wa kishua nikawa mamuitia nikiwa moyoni nahamini kua ni uongo sabu anatabia ya uongo uongo sometimes.sasa leo kanifuata na pikipiki kanambia oya twende kwa shemeji nikabebe ela kuna ela ninashida nayo nimemuomba anisaidia ameniambia nikachukue kwao twende na wewe ukamuone maana si unanibishiga basi tukaaza safari ya kuelekea kule..atimae tukafiki tukakutana na mshikaji duh aisee asila ilinikamata sema ndio ivyo kiume ume nikajikaza nikatoa hai pale freshi jamaa katoa kufika pale oh shemeji nini na nini si unajuaga ukikutanaga na shemeji ako mbwembwe basi akapewa ile ela tukaondoka kwakweri uyo mwanamke nilimpenda sana tena sana nimeludi home kichwa kinaniuma lakini nimejikaza tu kuandika huu uzi ili nipate ushauri nifanyeje maana bado ata sijamtimia sms wala kumuliza wakuu[emoji27] [emoji27] [emoji27]
Tumia akili
Labda hyo ni trick ya kaka ake ili muachane
Au labda kweli anatoka nae. Yu never know
Wewe chunguza sasa
Fanya liwalo upate namba ya cm ya mshkaj thenuchukue cm ya dem wako uangalie kama kaiserv
Kama kaserv frsh, angalia upande wa text messages
Ukikuta utajua
Usipokuta mtext hyo mshua af usubilie lazima atatuma text na akijib utajua2
 
Huyo mwanamke alikuacha kwa sababu hukwenda shule, yeye alitaka mtu aliyesoma. Yaani maandishi yako tu inaonekana we ni mtu wa namna gani....pole sana.
 
Si ulikubali kuacha... Hao akili zao wanazijua wenyewe shika lako tambaa
 
Tumia akili
Labda hyo ni trick ya kaka ake ili muachane
Au labda kweli anatoka nae. Yu never know
Wewe chunguza sasa
Fanya liwalo upate namba ya cm ya mshkaj thenuchukue cm ya dem wako uangalie kama kaiserv
Kama kaserv frsh, angalia upande wa text messages
Ukikuta utajua
Usipokuta mtext hyo mshua af usubilie lazima atatuma text na akijib utajua2
namba yake nimepta sema aijui namulizaje uyo mshikaji
 
Banana follow you
Money follow you.....
Yeah
 
Kitendo cha kumkubalia huyo mwanamke kusema uongo kwa kaka yake tayari kilishakupunguzia maksi. Ina maana hapakuwepo mpango wa kija kuoana na yeye hapo baadae. Je unafikiri huyo mwanamke asingekuja kuolewa?
 
Back
Top Bottom