Nimepoteza marafiki wote toka nioe

Nimepoteza marafiki wote toka nioe

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Salaam JF

Wapo wanaosema nimebadirika sana

Wengine wanasema nalinga sana

Wengine nimeshatiwa tunduni na limbwata

Ukweli ni kwamba toka nioe, Priority zangu zimebadilika sana.

Mitoko inayopelekea kuspend sana nimeikata yote.

Marafiki wale walizoea niwapigie simu niwakalibishe gheto mwisho wa siku nawatoa out.... Wote nimekata mawasiliano

Kifupi kazi yangu ndo imekuwa rafiki yangu namba mbili ukiacha mke wangu.

Je Hapa wadau niko sawa au ndo nimeshatekwa?
 
ata kama uko bize sana jitaidi kupata mda kidogo kwaajiri ya washkaji zako siku ukikwama ndio utajua umuhimu wa washkaji
 
hata shetani amekukimbia.? he he he kapimwe mkojo ndugu
 
Salaam JF

Wapo wanaosema nimebadirika sana

Wengine wanasema nalinga sana

Wengine nimeshatiwa tunduni na limbwata

Ukweli ni kwamba toka nioe, Priority zangu zimebadilika sana.

Mitoko inayopelekea kuspend sana nimeikata yote.

Marafiki wale walizoea niwapigie simu niwakalibishe gheto mwisho wa siku nawatoa out.... Wote nimekata mawasiliano

Kifupi kazi yangu ndo imekuwa rafiki yangu namba mbili ukiacha mke wangu.

Je Hapa wadau niko sawa au ndo nimeshatekwa?
Inaonesha marafiki zako walikuwa 99% ni wanawake.
 
Subiri upate shida watakuja tu kukusaidia
 
Nakuunga mkono kubadilika na kuipa familia yako first priority lakini sio kuacha marafiki waondoke. Unaweza kuwa hivyo lakini ukawa na marafiki wa faida yani marafiki wenye kujenga. Hao waliokimbia kulikua na chawa wengi sasa jenga uhusiano na marafiki wenye status kama yako. Na kama sio wenye status yako basi tafuta wenye kujiheshimu. Rafiki ni mtu muhimu sana
 
Inategemeana ulikuwa na aina gn ya rafiki..km mlikuwa ni wapenda starehe,madem n.k...utakuwa uko sahihi kuwaacha tuu...km hawana malengo ya kimsingi uko sahihi..km wao ni viwanja tuu..uko sahihi...na sina hakika km hao marafiki walikuwa na tabia njema
 
Hutakiwi kuwa hivyo, siku ukipata shida ndio utajua umuhimu wa hao washkaji zako.
 
Ndo ninyi mkistaafu mnapata shida sana mitaani huna pa kwenda huna cha kufanya
 
Marafiki hao ni wa kike au wa kiume?

Mipaka lazima iwepo pia ukishaoa

Ndoa nijukumu.
 
Back
Top Bottom