Natafuta rafiki wa kudumu ( a soul mate, a true and honest girlfriend)

Derick Elisha

New Member
Nov 29, 2017
4
45
Habari wanajamii,

Kama caption juu inavyojieleza,

Natafuta rafiki wa kike, rafiki ambaye atakuwa kioo kwangu na mimi kioo kwake, rafiki mwaminifu mwenye upendo na nidhamu ambaye tutaweza shirikiana mawazo pale inapobidi.

Mimi ni mwanaume umri miaka thelathini nipo Kibondo. Mengine tutajuana zaidi jinsi tutavyokuwa tunawasiliana.

Thanks in regards
 

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
1,474
2,000
Suala la rangi, sura au physical appearance kwako siyo shida? OK jiandae watakutafuta tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom