Upendo wa dhati unakuja kuadimika kama bikra

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,051
2,000
Hapo vipi,

Wadau katika tafiti zangu nimekuja kugundua nowdays hususani wanawake asilimia 80 ni Gold diggers. Kila nikitaka kuoa nitakae kutanae nikimpa kamtiani rahisi kinafail,kumbe yupo kimaslahi.

Wasichana wasasahivi hawapendi kufacereality wanapenda maisha yaliyokwisha anandaliwa na wanasahau ya kwamba hata hizo familia zenye maisha mazuri mke na mume ndio wameweka msingi.

Mwisho wa siku tunawatumia then tunawadampo kama toilet paper. Wasichana wa sasa hivi wanakatisha tamaa kuwaoa unaweza ukaoa siku unaugua au unafirisika akakukimbia.
 

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,128
2,000
Wasichana wazuri bado wapo, lakini pia wasichana wa hovyo hovyo wapo wengi pia. Ni kuwa makini tu katika uchaguzi, me nikianzisha uhusiano lazima nimwoneshe tangu mwanzo kwamba hapa kazi tu.
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,609
2,000
Upendo wa dhati hauwezi kupotea wala kufa mpaka mwisho wa dunia......

Isipokuwa tu unayempenda kwa dhati yeye wala hana muda na wewe na anayekupenda kwa dhati wewe wala hata hutamani kuuona hata uso wake............

Penye nguvu ya pendo la kweli hakuna usaliti wala usumbufu bali ni furaha siku zote.....
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,018
2,000
afu nyie hajajua tu ...wasichana wa sasa wanapenda kutombana kuliko hizo pesa zenu....ukiona anakuchuna ujue hajaridhika nawe una kiba%
 

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,271
2,000
Wenye mapenzi ya dhati wapo. Wapo wengi tuu.

Anza kujitathmini wewe kwanza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom