Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume,ninaemani katika urafiki na marafiki kuwa ni watu muhimu san na Maisha ni watu na watu ndo maisha.ningependa kupata marafiki wa kike wa faida,tujumuike katika kupambana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Najua Katika Mambo yetu Yale ya 6 kwa 6 tulishawahi ku kwichikwichi na ma bidada kibao. Au wengine hawajawahi kabisa....wengine labda mmoja tu...wengne wawili na zaidi. Kwa Mf Mimi na umri wangu...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kuumizwa kimapenzi na kuzingatia ushauri wenu nimepata ahueni kubwa sana. Baada ya hayo yote nimechukulia Poa na nakula vyombo.Usiulize ni vyombo gani? Mungu awabariki.
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ,unakuta kidume una bint, afu bint anajaribu kupiga mizinga unakubal utamkelezea ila unakula chenga had ye mwenyewe anakata tamaa au anajiongeza,[emoji3]...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wale Vijana Wa Zamani Mnakubumbuka Miaka 1998 's jinsi jina La Ugonjwa huu lilivyokua linatisha na Ugonjwa huu ulivyokua unatisha lakini sasa hivi naona Jina Limepungua Makali mno kama haupo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nawasalimu wana JamiiForums, Marafiki wote. Kwa moyo wa ukunjufu kabisa, nilete kwenu salamu za msimu huu wa sikukuu za Chrismass na Mwaka Mpya. Tutakianeni heri wote na Tumshukuru Mungu kwa...
4 Reactions
30 Replies
18K Views
Wana Jf nimekuja leo kupata japo kaushauri kidogo kwenu . Mi ni Me kwa jinsia na nimeshafikia ule umri wa kufanya yale mambo ya kikubwa, Sasa hapo nyuma kuna msichana niliamua kuanza Nae...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki. Mimi ni baba wa mtoto mmoja, ninaishi na mzazi mwenzangu ambae tunafanya wote kazi ofisi moja. Kuanzia mwanzo wa mahusiano tuliishi kwa misukosuko sana maugomvi...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama! Mjirekebishe wengine sisi...
36 Reactions
154 Replies
13K Views
Niende kwenye mada, ni hivi hawa dada zetu baadhi wanaovaa mawigi na wanaosuka ni wachafu balaa Yaani ukinusa mawigi au misuko yao yananuka balaa sababu hawanawi maji kichwani wanaishia shingoni...
6 Reactions
87 Replies
9K Views
Niomba kupata uzoefu kwa wale ambao wapo kwenye mahusiano tayari kwani na mimi nahitaji kuwa katika mahusiano lakini nimekuwa muoga kuwafuata wadada maana nashindwa hata pa kuanzia ile kuweza...
1 Reactions
94 Replies
11K Views
Wakuu me acha niende moja kwa moja vitu ambavyo vinaboa kutoka kwa baadhi ya dada zetu 1: wanaovaa nguo zinazowaacha mabega wazi then hawajanyoa makwapa, alafu kwenye daladala wakisimama vile...
6 Reactions
224 Replies
15K Views
Hivi wale watangazaji wa Harusi yetu kwenye channel ya Maisha Magic Dstv, wameolewa? Tunaomba majibu ili waoaji wapate fursa.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Naanza na swali: "Je,upo tayari kuchaguliwa mwenza wa maisha? Na kama uliyenae wakimkataa utafanya nini?" Haya ni maswali ambayo nimejiuliza sana baada ya kukutana na maelezo ya Peter (sio jina...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nawapa hi wote. Moja kwa moja kwenye mada: Familia inavamiwa na majambazi yenye bunduki na pistol usiku na kufanikiwa kuingia ndani ya nyumba. Wamemkuta mke na mme na wote wako chini ya ulinzi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini wana MMU, Naombeni mnipe ushauri kwa hii changamoto ninayoipitia sasa! Mimi ni binti niliyekuwa kwenye uhusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini huyo boyfriend wangu sikuwahi hisia nae...
2 Reactions
147 Replies
15K Views
Habari wakuu, Na heri ya sikukuu ya Christmas, Kuna katabia kamezuka sikuhizi huko mitandaoni ka wazazi na wasio wazazi kukiss watoto midomoni. Tabia hii kwangu naona ni uchafu, kuambukiza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka 2014 Mwezi wa December, niliomba likizo kazini na nilipanga baada ya mapumziko mafupi dar niende kutembea Arusha/moshi kwa mara kwanza katika maisha yangu, nikamtaarifu rafiki yangu fredy...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba nianze na wimbo huu Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani...
13 Reactions
86 Replies
8K Views
Ama hakika kweli huwezi amini kama Mungu yupo kama hujapitia katika hali ngumu ,mkumbuke niliwahi kuja na uzi Inasikitisha: Nimefanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI kwani ilinilazimu nitumie...
10 Reactions
58 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…