Wale wanaume wenye tabia hiz waje tuzungumze

Wale wanaume wenye tabia hiz waje tuzungumze

mashishanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
611
Reaction score
429
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ,unakuta kidume una bint, afu bint anajaribu kupiga mizinga unakubal utamkelezea ila unakula chenga had ye mwenyewe anakata tamaa au anajiongeza,[emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] ,au bint anakomaa ooho cjui Tufunge ndoa ndio mimba, bas sis wajanja tunamwambia ukibeba mimba ndani ya mwez ndoa, akishaibeba basi mapenz motomoto had mimba ikifikia miez 5 ishakua kubwa na watu washajua na najua hapo hawez itoa, basi nakula ndukiiii,nasubir miaka 7 narud na magot na machoz mengi na uongo mwing ,nikishapewa mtoto ndio habarii imeishia hapooooo....akili zetu tunazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom