Nimuache mazima Aende au Akirudi Nimpokee Ushauri wenu wana Jf.

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,581
2,000
Wana Jf nimekuja leo kupata japo kaushauri kidogo kwenu .

Mi ni Me kwa jinsia na nimeshafikia ule umri wa kufanya yale mambo ya kikubwa,

Sasa hapo nyuma kuna msichana niliamua kuanza Nae mahusiano nina almost mwaka sasa niko nae mwanzo sikujua umri wake ila baada ya kumuuliza na wakati tayari tupo kwenye mahusiano aliniambia ana miaka 27 na mimi bwana umri wangu ni miaka 21.

Hilo nilistuka kidogo lakini niliamua tu kukaza Roho kwa kuwa nilichokuwa nakihitaji ni mahusiano yenye msimamo wa kweli na sio umri.

ila tatizo la huyu bibie yeye siku akiamua kitu basi anataka umtekelezee tu ata kama itakuwa nje ya uwezo wako.

Anaweza kuamka tu na kukuomba kiasi furani cha pesa ukisema sina basi inakuwa ugomvi eti simpendi sitaki kumuhudumia na wakati karibu vitu vyote anavyotumia vina mkono wangu japo bado hatukai pamoja yeye yupo kwa dada yake na mimi nipo kwangu.

Alishasema tuachane zaidi ya Mara 3 na siku zote hizo sikuwa Namjibu chochote eti kwa sababu labda kaomba kitu furani nikisema sina basi atapandwa na hasira na maneno kibao kwamba simpendi na mengine mengi mwisho wa siku anasema tuachane,

lakini haipiti siku mbili atajirudi na kujutia maamuzi yake atajibebisha na vimsamaa kibao basi kwa kuwa mimi sinaga maneno mengi huwa namuacha tu kama hakuna kilichotokea baina yetu na mapenzi yanaendelea

Kilichonileta kwenu leo hii ni kwamba jana usiku nipo geto nimelala ghafra akatuma meseji kwamba kapata kiwanja anataka akinunue hivyo anaitaji kampani nimsaidie kidogo,

Nilivyomuuliza kiasi gani hicho kiwanja akanitajia bei sh laki 6 nilishtuka kiwanja gani kwa hiyo bei wakati nilishawahi ulizia viwanja kibao huku niliko ni kuanzia milioni 1 Na Nusu.

Basi nilimuoji tu vimaswali kidogo hicho kiwanja kimepimwa akasema ndio basi sikumkatisha tamaa nilichomueleza kwamba leo sina couze umenukurupusha na wewe unahiitaji kwa haraka hivyo labda kwa siku nyingine mbele.

Akaamua kununa zake na kama kawaida yake akasema atakinunua yeye mwenyewe hivyo basi kwa kuwa nimeshindwa kumpa kampani kasema tuachane na mimi nimemjibu ndio.

Hivyo basi ninavyomjua mimi haitopita siku mbili lazima ajirudi tu na mimi nimepanga safari hii ndio iwe mwisho wake kabisa au mnasemaje .

Nimekuja kwenu mnipe tu kaushauri kidogo.
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
565
1,000

27-21=6
Kwa hilo gapu lazima akuombe laki 6
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,581
2,000
Mdogo wangu,,mwanaume mwenzangu hapo umeingia pabaya tafuta mwanamke mwingine utakayeendana nae kifikra ,ki-maslahi n ki-umri pia
Nashukuru mkuu ata mimi mwenyewe nimeliwazia sana hilo na nilishapanga safari hii ni mazima sitaki tena shobo nae
 
mtamaushi2

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
400
500
Wana Jf nimekuja leo kupata japo kaushauri kidogo kwenu .

Mi ni Me kwa jinsia na nimeshafikia ule umri wa kufanya yale mambo ya kikubwa,

Sasa hapo nyuma kuna msichana niliamua kuanza Nae mahusiano nina almost mwaka sasa niko nae mwanzo sikujua umri wake ila baada ya kumuuliza na wakati tayari tupo kwenye mahusiano aliniambia ana miaka 27 na mimi bwana umri wangu ni miaka 21.

Hilo nilistuka kidogo lakini niliamua tu kukaza Roho kwa kuwa nilichokuwa nakihitaji ni mahusiano yenye msimamo wa kweli na sio umri.

ila tatizo la huyu bibie yeye siku akiamua kitu basi anataka umtekelezee tu ata kama itakuwa nje ya uwezo wako.

Anaweza kuamka tu na kukuomba kiasi furani cha pesa ukisema sina basi inakuwa ugomvi eti simpendi sitaki kumuhudumia na wakati karibu vitu vyote anavyotumia vina mkono wangu japo bado hatukai pamoja yeye yupo kwa dada yake na mimi nipo kwangu.

Alishasema tuachane zaidi ya Mara 3 na siku zote hizo sikuwa Namjibu chochote eti kwa sababu labda kaomba kitu furani nikisema sina basi atapandwa na hasira na maneno kibao kwamba simpendi na mengine mengi mwisho wa siku anasema tuachane,

lakini haipiti siku mbili atajirudi na kujutia maamuzi yake atajibebisha na vimsamaa kibao basi kwa kuwa mimi sinaga maneno mengi huwa namuacha tu kama hakuna kilichotokea baina yetu na mapenzi yanaendelea

Kilichonileta kwenu leo hii ni kwamba jana usiku nipo geto nimelala ghafra akatuma meseji kwamba kapata kiwanja anataka akinunue hivyo anaitaji kampani nimsaidie kidogo,

Nilivyomuuliza kiasi gani hicho kiwanja akanitajia bei sh laki 6 nilishtuka kiwanja gani kwa hiyo bei wakati nilishawahi ulizia viwanja kibao huku niliko ni kuanzia milioni 1 Na Nusu.

Basi nilimuoji tu vimaswali kidogo hicho kiwanja kimepimwa akasema ndio basi sikumkatisha tamaa nilichomueleza kwamba leo sina couze umenukurupusha na wewe unahiitaji kwa haraka hivyo labda kwa siku nyingine mbele.

Akaamua kununa zake na kama kawaida yake akasema atakinunua yeye mwenyewe hivyo basi kwa kuwa nimeshindwa kumpa kampani kasema tuachane na mimi nimemjibu ndio.

Hivyo basi ninavyomjua mimi haitopita siku mbili lazima ajirudi tu na mimi nimepanga safari hii ndio iwe mwisho wake kabisa au mnasemaje .

Nimekuja kwenu mnipe tu kaushauri kidogo.
Wewe ni ME umeingia choo cha KE,
 
Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,561
2,000
Watu mnapenda kujitafutia matatizo, mwanamke akikuzidi umri ni changamoto nyingine. Mimi nilikuwa naye kipindi cha nyuma tena huyu alikuwa mkubwa kweli kweli, alikuwa na miaka 42 kwa 22. Pamoja na kumvua chupi, kumkaza vizuri eti bado ananiita 'dogo'... aisee nilikuwa nachukia vibaya sana, yaani mwanamke akikuzidi umri anaona kama huwezi kuwa juu yake kwa lolote.
 
kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,772
2,000
watu mnapenda kujitaftia matatizo..hivi utaparamiaje mwanamke aliyekuzidi umri?binafsi hata mwanamke aliyenizidi sekunde moja katika kuzaliwa simtaki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom