Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heri ya krismas na mwaka mpya,Kwanza tumshukuru Mungu kutupa afya njema tunakutana tukiwa watu wapya wenye nia ya kudumisha udugu na upendl kwa rafiki zangu ninao wajua ,jamana waungwana ndugu sio...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini wapendwa!!! Kwa kipindi kilichopita nilitoa Mada kuwa nilianzisha mahusiano na dada yake na mke wangu. Wengi walinikejeli na matusi, wengine wakanipa ushauri mzuri ambao umenisaidia...
8 Reactions
132 Replies
12K Views
Amani kuu na iwe juu yenu,mabibi na mabwana wa JF.Tunapo upa mkono wa buriani 2017,ni vyema kukumbushana baadhi ya mambo muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Ndoa ni taasisi muhimu kwa...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu amani kwenu, Juzi niliweka uzi hapa kuwa kwa asilimia 100% mke wangu kanisaliti nashukuru kwa michango yenu japo mingine ilikuwa michungu kama shubiri.Ilinilazimu kusafiri toka mkoani kuja...
7 Reactions
145 Replies
26K Views
John alikutana na Irene wakaanzisha mahusiano, Lakn Irene alikuwa single mother. John alikuwa na nia ya dhati kwa Irene na alitaka kuoa Kwanu alimpeleka kwao akamtambulisha. Mahusiano yao...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Nimeshangazwa sana leo baada ya kupata stori kutoka kwa wana hapa kijiweni kuwa Kuna chama hapa town kinaitwa CHACHAKUWWADA (CHAma CHA KUtongoza WAke za WAtu DAr es Salaam). Nasikia ni...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Imeandikwa: ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru Mimi napinga wale wote wanaosema eti usimchunguze mwenza wako kwa kuogopa maumivu, why? Kwa nini usimchunguze ukajiridhisha ili uishi kwa...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
WAKUU, NIMEFURAHI SANA KIASI CHA KUSAHAU KABISA "The tighting of irons in town". YULE BINTI AMBAYE ALINIKASHIFU SANA WAKATI TULIKUWA PETE NA KIDOLE, KISA ALIAHIDIWA NDOA NA HATIMAYE AKAOLEWA...
14 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari wakuu Nasikitika hapo jana nmemgegeda mke wa mtu japo sikukusudia alinishawishi kwa mitego yake mwenyewe hata hivyo namsifu kwa maufundi yale aliyonionyesha Mwenyemke pole mke wako...
8 Reactions
141 Replies
23K Views
Nimeombwa niirudie! NDANI YA VEROSSA REPOST: Ndani ya verossa, unaweza kudhani ni gari ya kawaida, ila ndio humo alipopoteza bikira yake, utu na heshima yake. Ndani ya verossa alitegemea...
12 Reactions
31 Replies
5K Views
Za Christmas wana Gt. Nimejikuta nawaza na nimeamua kuwashirikisha, Kama mnavyojua kijana wa kiume anapofikia kuoa hasa Yule ambaye atamwita wife material wa kufa na kuzikana wa shida na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini nlikuwa naomba msaada wa namna ya kuomba msamaha kwa mpenzi
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana MMU, Umuofia kwenu. Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu. Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda...
3 Reactions
213 Replies
24K Views
salaam wanabodi kwa wale walio ndani ya ndoa kwa muda mrefu tafadhalini mnaweza kutujulisha ambao tunataka kuingia kwnye ndoa nini hasa changamoto za ndoa na nini kifanyike ili kuweza kudumu muda...
1 Reactions
148 Replies
13K Views
Nnamchumba huu mwaka wa 3, pasaka ya mwaka huu alienda Dom kwa dadake kabla hajarudi home Mwanza mi channel's zangu zkasoma dar.. Bas nikamtaarfu nikasepa zangu.juz tu ndo nmeingia kitaa. Jana...
8 Reactions
86 Replies
6K Views
Jamani ni imani yangu kila mmoja anapohitaji kuwa na mpz maana yake rahisi anahitaji faraja ya moyo, na sio penzi ligeuke kuwa ndio chanzo cha sehem ya kupigiwa na kukumbushwa makosa yake ya...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna Jirani yangu alikuwa na mchumba wake, alimpenda Sana. Kabla hawajafunga ndoa jamaa akapata matatizo ya kiafya. Magonjwa ya kila aina Kwa takribani mwaka mzima anahangaika kujiuguza. Yule...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Hilo ndio swala ambalo vijana wengi wamekuwa wakijiuliza baada ya kuona hawakutani na wasichana Bikira, kila Msichana anakutwa used hata ukichukua wa miaka kumi na mbili anakuwa used. Swali, hizo...
5 Reactions
236 Replies
31K Views
1ST YEAR Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za sikukuu za kuzaliwa bwana
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…