Hii ndio sababu Christmas siipendi kabisa

huu ufala wa kuandika nusu nusu utaisha lini? usirudi kumalizia maana hakuna hasara kwetu
 
Pole sana asee
Hiyo siku ya ugomvi ilikuwa ni xmas?
 
Nakumbuka hili swala na namchukia baba yangu kuwa mpole sana yeye anafanyiwa haya alafu anakaa kimya hana usemi. Ila mama huyu ndo kabisa simpendi kabisa maana anamatusi sio ya dunia hii

Sikukuu hii sina amani kabisa maana hilo ni moja yapo mengi sana

Mkuu Aleppo Ifikie hatua usahau yaliyopita na uwasamehe wazazi wako..
Binaadam aliyekamilika huangalia anakokwenda sio alikotoka..🙂🙂🙂

Wasamehe mkuu bado watabaki kua wazazi wako
 
Huwezi kuchagua mzazi wa kuzaliwa kwa yeyote utakayemkuta unashukuru Mungu. Jaribu kuwapenda wazazi wako.
 
Back
Top Bottom