Chama Cha Kutongoza Wake za Watu Dar kuweni na utu

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
Wakuu,
Nimeshangazwa sana leo baada ya kupata stori kutoka kwa wana hapa kijiweni kuwa
Kuna chama hapa town kinaitwa CHACHAKUWWADA (CHAma CHA KUtongoza WAke za WAtu DAr es Salaam).

Nasikia ni kundi la vijana ambao kimwonekano ni wastaarabu tu,
Ila dhumuni la chama chao nd'o linaleta mush'keri.

Inasemekana hawa vijana wamejikita katika kupiga tongozo wake za watu mjini,
Wadai lengo lao ni kufanya utafiti ili kubaini asilimia ngapi ya wake za watu wako madhubuti na ndoa zao.

Wanachama wa chama hicho wana katiba yao ya chama iliyojikita katika kuainisha taratibu za oparesheni ya utongozaji (mahususi wa wake za watu).

Miongoni mwa taratibu zao ni kwamba chama kina-identify mke wa mtu fulani,
Halafu memba mmoja wa CHACHAKUWWADA anapewa jukumu la kupiga tongozo kwa mwanamke huyo kwa miezi minne conservatively,
Chama kinampa memba mbinu na zana zote za kazi (ikiwemo; gari la kutongozea, pamba na hela kwa ajili ya kuhonga ikiwa mke ni mpenda pesa sana).

Memba anatakiwa kuleta mrejesho wa ufanisi na changamoto anazokutana nazo kila mwisho wa wiki; wanachama wanazijadili changamoto na kuzitafutia mbinu m'badala.

Ikifikia miezi minne tongozo haijaleta ufanisi (kudufua bumunda la mke wa mtu) chama kinarekodi data ya msimamo wa huyo mke,
Ila bumunda likidufuliwa ndani ya huo muda basi takwimu ya ukosefu wa msimamo inarikodiwa.

Hii nd'o stori iliyo_bang sana leo huku kijiweni kwetu pande za Kigamboni_ToaNgoma-

Vipi wakuu,
Hiki chama kipo kweli kitaa au ni stori tu za kuwapa presha waliooa wasiishi kwa amani hapa mjini?

Maana'ke lengo langu ni kwenda Mtwara wiki ijayo,
Nikabebe mke kwa ndoa ya mkeka
ili nije naye huku Kigamboni maana'ke binti mwenyewe ananisisitiza Mara kwa Mara;

" I am waiting for you @Seneta_Wa_Mtwiz ,
I wanna get married to you homie."

Ila kwa jinsi wana walivyoiwasilisha stori kwa msisitizo nimeona nivute subira kidogo kusikilizia huu upepo wa CHACHAKUWWADA.
 
Kwa mwelekeo wa uhusiano wa serikali yetu na wahisani huenda miaka ijayo ARV zikaanza kuuzwa na zitakuwa ghali mno.

Kuweni makini wanaume wa Darisalama.
 
mimi pia nataka niwape assignment hao chachakuwwada, kuna rafiki yangu kanipa kazi *ngumu* ya kupima uaminifu wa mkewe, nilikataa, ngoja nimuambie kuhusu hao jamaa ili ajiridhishe, maana huwa anahisi mkewe si mtulivu, tatizo hana ushahidi
 
Dah hizi story ni zile za enzi hizo "pazi na jogoo" story za ki juha juha peleka kwa watoto wa chekechea a.k.a vidudu. Jaribu kutunga nyingine
 
Wakuu,
Nimeshangazwa sana leo baada ya kupata stori kutoka kwa wana hapa kijiweni kuwa
Kuna chama hapa town kinaitwa CHACHAKUWWADA (CHAma CHA KUtongoza WAke za WAtu DAr es Salaam).

Nasikia ni kundi la vijana ambao kimwonekano ni wastaarabu tu,
Ila dhumuni la chama chao nd'o linaleta mush'keri.

Inasemekana hawa vijana wamejikita katika kupiga tongozo wake za watu mjini,
Wadai lengo lao ni kufanya utafiti ili kubaini asilimia ngapi ya wake za watu wako madhubuti na ndoa zao.

Wanachama wa chama hicho wana katiba yao ya chama iliyojikita katika kuainisha taratibu za oparesheni ya utongozaji (mahususi wa wake za watu).

Miongoni mwa taratibu zao ni kwamba chama kina-identify mke wa mtu fulani,
Halafu memba mmoja wa CHACHAKUWWADA anapewa jukumu la kupiga tongozo kwa mwanamke huyo kwa miezi minne conservatively,
Chama kinampa memba mbinu na zana zote za kazi (ikiwemo; gari la kutongozea, pamba na hela kwa ajili ya kuhonga ikiwa mke ni mpenda pesa sana).

Memba anatakiwa kuleta mrejesho wa ufanisi na changamoto anazokutana nazo kila mwisho wa wiki; wanachama wanazijadili changamoto na kuzitafutia mbinu m'badala.

Ikifikia miezi minne tongozo haijaleta ufanisi (kudufua bumunda la mke wa mtu) chama kinarekodi data ya msimamo wa huyo mke,
Ila bumunda likidufuliwa ndani ya huo muda basi takwimu ya ukosefu wa msimamo inarikodiwa.

Hii nd'o stori iliyo_bang sana leo huku kijiweni kwetu pande za Kigamboni_ToaNgoma-

Vipi wakuu,
Hiki chama kipo kweli kitaa au ni stori tu za kuwapa presha waliooa wasiishi kwa amani hapa mjini?

Maana'ke lengo langu ni kwenda Mtwara wiki ijayo,
Nikabebe mke kwa ndoa ya mkeka
ili nije naye huku Kigamboni maana'ke binti mwenyewe ananisisitiza Mara kwa Mara;

" I am waiting for you @Seneta_Wa_Mtwiz ,
I wanna get married to you hommy."

Ila kwa jinsi wana walivyoiwasilisha stori kwa msisitizo nimeona nivute subira kidogo kusikilizia huu upepo wa CHACHAKUWWADA.
Wao hizo data wakishazipata wanazipeleka wapi??
 
Ungekuwa unaujua ukweli ungekiacha hicho champ. Ukweli wengi waliotembea na wake za watu wakakamatwa hawana malinda
 
Back
Top Bottom