Kaka,usitumie historia ya maumivu ya mpz wako(ke) kama fimbo ya kumpigia

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,527
2,000
Jamani ni imani yangu kila mmoja anapohitaji kuwa na mpz maana yake rahisi anahitaji faraja ya moyo, na sio penzi ligeuke kuwa ndio chanzo cha sehem ya kupigiwa na kukumbushwa makosa yake ya nyuma,
Iko hivi...mara nyigi sisi wanaume huwa tunapenda sana kumdadisi mwanamke historia yake ya mahusiano ya nyuma na kiukweli huwa tunatamani kujua lakini baada ya kujua huwa inaleta maumivu makali sana moyoni.kwa vile mwanamke mda mwigine huwa anaona njia nzuri ya kujiaminisha kwako ni kukuambia baadhi ya ukweli.hapo ndio kosa kubwa linapofanyika maana maneno hayo huwa hayafutiki moyoni isipokuwa baadae huwa yanatumika kama hadidu za rejea.
Jamani tukumbuke kuwa hayo yote aliyokumbia ni mambo yaliyopita na anahitaji faraja yako ya hali ya juu ili uuponye moyo wake na aweze kujisikia na yeye ni wa thamani kwako,
Jamani usisahau kuwa hata wewe unahistoria yako ambayo kimsingi sio nzuri hata huwezi kumwambia mtu,ila na yeye amekuvumilia na anakuonesha uthamani,
Mapenzi ndio chombo pekee cha kumfanya mtu ambaye alijiona hafai ila sasa kati ya wote amekupata wewe ambaye umeona uthamani wake wa pekee...
Kwa nini kumfanya dada wa watu kulia na kukuomba msamaha kwa makosa ambayo kimsingi yalitokea hata wewe haujajulikana kama mtakutana
Mpz/mke mwema anategenezwa pia..
Jali thamani ya mpz wako mpoze moyo wake kwa upendo wako hadi ajute kwa nini hakukuona wewe mapema hapo ndio utaona nguvu ya mwanamke inayoweza kubadilisha maisha yako
 
JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,577

Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,527
2,000
Umekopi na kupesti hii habari yako...
Leta sehem niliyoikopi na ushahidi wake... Unafikili wote humu wanaakili za hivyo au hatuwezi kufikilia...
Hii nimeandika huku nikiwa nimekumbula kisa kimoja ambacho kinanighalim mpaka Leo....
 
jr.kiyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
652
1,000
Leta sehem niliyoikopi na ushahidi wake... Unafikili wote humu wanaakili za hivyo au hatuwezi kufikilia...
Hii nimeandika huku nikiwa nimekumbula kisa kimoja ambacho kinanighalim mpaka Leo....
hapa ndipo uzi woote huu ulipo kwengine kote round about haya mwana wane tujuze hiko kisa...
 
  • Thanks
Reactions: lup

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,668
2,000
kweli mkuu chozi la mwanamke sio zuri kabisa
nimeshika nafasi ya mtu kwa muda
Hujaingia kwenye 18 za mwanamke wewe,wanawake ni wabaya sana wakikuweka kwenye 18,unaweza mfanyia nyooote unavyovijua kwa mapenzi yote lakini siku anakukana anakuwa na sura ya ajabu,anweza kukuambia sijawahi kukuona na akasimamia msimamo huo.
 
Google chrome

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,245
2,000
sometimes akili inazidiwa kwa kuishi nao, wana nyonya akili uwezo una pungua
Kwa kweli mkuu ila kitu ninachoamini mara nyingi ukisikia mwanamke analalamika kuwa mwanamme mbaya basi ujue kwa asilimia kubwa huo ubaya wa mwanamme kausababisha huyo mwanamke
 
AHMARDZ

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
791
1,000
  • Thanks
Reactions: lup

AHMARDZ

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
791
1,000
Kwa kweli mkuu ila kitu ninachoamini mara nyingi ukisikia mwanamke analalamika kuwa mwanamme mbaya basi ujue kwa asilimia kubwa huo unaya wa mwanamme kausababisha huyo mwanamke
kabisaaaa yani mule mule, source ni wao wenywe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom