boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Imeandikwa: ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru
Mimi napinga wale wote wanaosema eti usimchunguze mwenza wako kwa kuogopa maumivu, why?
Kwa nini usimchunguze ukajiridhisha ili uishi kwa Amani bila hofu moyoni, huyo uliye nae mmekubaliana wenyewe kuwa mnapenda na hata mlio oana mmekubaliana, kwa nini usiwe mwaminifu kwa mwenzako,
? na kwa nini unaogopa kumchunguza mwenza wako? Kwa nini unaogopa kuchunguzwa? Kama mtu uliye nae si sahihi achana nae mtafute yule sahihi kwako kuliko unaishi kwa wasiwasi, na kuogopa kuchunguzwa/kumchunguza kama cyo mwaminifu piga chini punguza thana ya kuwa hakuna mkamilifu wakati unaletewa magonjwa ndani kwa uzembe wako.
Raha ya mapenzi ni kumwamini mwenzako hata akiwa bukoba wewe upo dsm mnakuwa na amani na kazi zinaenda vizuri, kama unahisi hautosheki na mmoja usioe/usiolewe we chukua piga/pigwa acha maisha yaendelee, acheni kuishi maisha ya wasiwasi, kama mkeo/mmeo haumwamini mchunguze mpaka ujue ukweli, ili uwe na Amani moyoni na ufurahie mahusiano, kama kicheche piga chini hatujaja duniani kutesana, mwanaume anashida na mwanamke na mwanamke anashida na mwanaume,
Vijana tusiolee ngenye kisa demu anakiuno feni, mchunguze kwanza umjue haswa, kama kicheche achana nae abaki chakula cha mbwa.
Wasichana msiolewe kisa vicent kama kicheche achana nae aendelee kuitwa danga. Na ale wa kununua
Note:uaminifu kwenye jambo lolote unajenga heshima, unajenga familia bora, unaleta maendeleo
Wewe ni wa thamani sana usikubali upoteze malengo yako/mambo yako kisa mwenza anayekucheat