Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana na binti wa JF, Nimeona nifunguke kwa tabia ambazo kiukweli zisifagilii na huenda pia huzifagilii na tunaweza kuita ushamba wa mjini. [emoji666] ni pale kila msichana unayemwita...
1 Reactions
2 Replies
992 Views
Wakuu hamjambo. What kind of jealous!!!!? Juzi Wife to be kantembelea Wakati natoka kucheck mechi ya club yangu pendwa tulipoifunga Stoke city kama wamekaaa (Chelsea) Nilipokea text toka kwa...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Awali ya yote hongereni kwa kuanza mwaka mpya, kwa wale wanaoendelea kukosea mwaka kwenye documents na kuandika 2017, poleni pia. Jana kwa mara ya kwanza nilipigiwa simu na swahiba wangu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wassalaam wana MMU Enzi za "ujana" wangu nilikuwa nikiwashangaa sana "vidume" wenzangu waliokuwa wakiwapiga wapenzi wao au hata kufikia hatua ya kuchukiana nao kupitiliza. "Mungu" sio joti wala...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanaume wenzangu wala tusitetereke, tuendelee kukaza uzi. Sasa hivi wanawake wamecahruka kweli kweli. wanatubambikizia kila aina ya kashfa, dharau, matusi na sifa ambazo hazikuwepo. Tena wana...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ilikuwa ni majira ya saa 4:00 za asubuhi ndipo Katibu muhtasi alipoamua kumwangalia bosi wake maana tangu alipoingia ofisini kwake majira ya saa 2:00 za asubuhi hakutoka wala kumsemesha au kuagiza...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Basi buana majuzi kati hapa nikaenda Mlimani city kucheki Fast and Furious 8, Wakati nasubiri mashostito waje nikakaa pale Movies kwa nje pale kwa njee ah nikakaaaa money penny mieee natoa toa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Aah mwaka huu mwaka unataka kuanza vibaya.kuanza na mdororo wa kiurafiki. Jana jioni tumetoka job na jamaa yangu mmoja tunamwita fisi tukampitia mshkaji wetu mmoja tunamwita alhaj.ni mtu wa...
28 Reactions
37 Replies
5K Views
Kama una jambo rohoni, huzuni, stress usiact or kujifanya uko strong or happy mbele za watu unakaa nalo rohoni while moyoni unaungua, hivi vinachangia sana kufanya moyo u fail ndio hayo unasikia...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Aisee nipo Serious naomba msaada!. Hivi kuna njia mbadala ya Bikira ya Mwanamke kutoka zaidi ya Ngono?? Kama zipo naomba zitajeni Nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO! Simwongelei mtu ni ujumbe kutoka kwa mdau wa masuala ya wanawake anaitwa Lu-Patie! Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo...
12 Reactions
48 Replies
11K Views
sio kwamba sipendi kuolewa jamani au sio kwamba sijawai kupata wa kunioa , ila yaani waoaji wangu sijui nisemeje .ngoja niseme kwa ufupi muamue wenyewe muoaji namba moja huyu jamaa kweli...
22 Reactions
349 Replies
32K Views
1. She's been with you for a long time. If you've been together for a long, long time, chances are, your gal is not going anywhere any time soon. FYI: once we get attached to something (like a...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Story ya ndugu yangu Nimeolewa na huyu mwanaume miaka 5 iliyopita,wakati wote huo sikugundua kama ananisaliti. Nakumbuka ilikuwa mwezi wa pili 2017, mume wangu aliposafiri kuelekea kijijini...
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Najua nina WEWE na hiyo INATOSHA! Wewe ndio siri ya NGUVU YANGU, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu.. najua nimewahi kukukosea lakini ninachofahamu hata wakati nakukosea bado ulikuwa mwanamke...
24 Reactions
152 Replies
23K Views
Kwa Wana Jf wenzangu je wewe ulianza kujiusisha na mahusiano(mapenzi) ukiwa na miaka mingapi. Na unakumbuka mpenzi wako wa kwanza alikuwa anaitwa nani kwa jina ? Binafsi. nilianza nikiwa na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam wakuu wangu wa kazi! Naomba kujua kuhusu hili, nini hasa wenzetu mmegundua, mbona mnapenda sana? Nakumbuka siku za nyuma katika pitapita zangu nilikuwa nikipata mwanamke mpya wa kwenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mchana mabibi na mabwana Marekebisho yamefanyika makosa yalifanyika kabla. Ever Smiling Kasie.
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Mwaka 2018 ndo umeanza. Wengi tuna mipango na matarajio mbalimbali. Lakini ili nguvu kuu iwe upande wetu na hatimaye kufanikiwa katika matarajio yetu ya maisha kuna mambo kadhaa ambayo ni lazima...
10 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…