Je Ulianza mahusiano (mapenzi) ukiwa na miaka mingapi?

Je Ulianza mahusiano (mapenzi) ukiwa na miaka mingapi?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kwa Wana Jf wenzangu je wewe ulianza kujiusisha na mahusiano(mapenzi) ukiwa na miaka mingapi.

Na unakumbuka mpenzi wako wa kwanza alikuwa anaitwa nani kwa jina ?



Binafsi.

nilianza nikiwa na umri wa miaka 16.

Na mpenz wangu wa kwanza alikuwa anaitwa Prisca alikuwa mtamu sana asee Couze nilimkutia tayari ameshajua yale mambo yetu ya kikubwa yeye alikuwa amenizidi umri kidogo she was at 18 age.

Kipindi hicho niko kidato cha 2 na yeye ndio alikuwa anamaliza kidato cha Nne.

Was a fun day ile siku ilikuwa siku ya kuchekesha sana nikikumbuka kwa sababu nilikuwa sijui ukishaingiza du-du unafanyaje ..!

Full mauoga lakini nilifanikisha kucheza game na nilipiga triple bila kupumzika sijui kama ile nguvu nitaipata tena aseeee..

I love you prisca wherever you are wewe ndio ulionifanya nisiogope mademu mpaka kesho .!


Wewe je?
 
Ungeanzia kwa baba na mama yako mzazi + baba na mama mkwe wako ungeluwa umechagua sampuli nzuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom