Tumegegeda Msichana mmoja sisi Marafiki watatu. Mmoja ameamua kumuoa huyo Gal.Ila anataka kuvunja urafiki wetu

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Aah mwaka huu mwaka unataka kuanza vibaya.kuanza na mdororo wa kiurafiki.

Jana jioni tumetoka job na jamaa yangu mmoja tunamwita fisi tukampitia mshkaji wetu mmoja tunamwita alhaj.ni mtu wa swala sana.yeye tunamfaham kwa kutuusia sana maadili.alitupigia simu kuwa tumpitie hakuwa na usafiri.tukampitia katika kupiga piga stories za mwaka mpya nikawaambia jamaa wanisindikize nikafanye ukarabati kichwani maana nlijiambia sitonyoa mwili mzima mpaka mwaka uanze.

kwahiyo toka december sijaona wembe,mashine wala mkasi.so nikaona nianzie huku juu sasa kufanya ukarabati maeneo mengine ntatafuta demu wangu wa zaman aje anisaidie ingawa she is married toka mwaka 2004.basi mimi,ustaadhi na fisi tukaenda hiyo saluni ya washkaji mitaa ya kati.

Mle ndani kuna lidada moja lizuri halaf lina mwili wa kikuda sana.ni kama libata mzinga hivi...lina swaga za kichokozi hasa.likitembea inakuwa issue kweli.linatembea kama limelazimishwa lilikuwa halitak. Mijicho ya wizi na lips zake....na sijui huwa linakula nini.likiwa linakuosha usoni na kukufanyia scrub likipumua hivi....dah kuna harufu nzuri kweli inatokea mdomoni mwake.sijui ni nini.

Mimi nliwahi kulila mwka juzi.siku hiyo nlienda kunyoa pale saluni...nikaliona limevaa sketi fupi lina miguu na mapaja balaa halafu limenyanyua kifua chake utadhani mtu aliyefura kwa hasira au linabeba vyuma...likiwa linanisafisha kichwa changu liliegemeshea kwenye matiti yake makubwa magumu.aisee....utadhan masponge.sijui walimchukua maksudi kwa ile kazi.maana ni dhahma kidume lazima uende mnara. Nadhan ule ndo uchawi wa mwenye saluni pale.lilikuwa kila linachoniuliza nasema tu sawa hata lingeuliza "nikupake pilipili"ningeitikia sawa .ni kama network ilikata maana nlikuwa siji elew elew kabisa. Lilipomaliza kila kitu likanambia tsh 25,000. Moyo ukafanya paaaah...kidogo niache mdomo wazi kwa mshangao.

nikajikaza kisabuni... Gudume nikajitutumua.kwa lile lidada na visa vyake hata likikwambia lakh 200,000 unatoa. Mi huwa mbishi sana.ila siku ile nlikuwa kama ndondocha nikatoa 30,000. Kuna wanawake wachawi, wallaah nakwambia.mwanaume unachukuliwa msukule hiv hivi unajiona.

Nikamwambia chenji abaki nayo ntakuja kumdai siku nyingine...
Likajibu " mwenzio naogopa madeni hivyo..."nikamwambia "serikali yenyewe inadaiwa itakuwa yeye mwananchi" likashukuru nikaondoka.ila huku chini kulikuwa tayari kumeshachachamaa sana. Lilikuwa limeona nilivyokuwa nmeathirika na bila shaka lilikuwa linajipongeza sana."laaanakum lile lidada.siku yake ipo.yaani mtu unaibiwa hivi hivi huku usoni unatabasam moyoni unalia" nikajisemea moyoni.

Keshokutwa yake kidume nikajikusanya, nikaenda tena nikijifanya siku ile nlisahau miwani ya jua.akasema hapana basi nikamwomba anipatie namba ili aangalie vizuri then anijulishe.hakuwa na hiyana mtoto wa watu.

Kesho saa nne usiku nikapiga simu kuuliza miwani yangu.lijidada likasema halikuona miwani na muda huo lilikuwa linatoka linampigia mtu wa bodaboda aje alichukue.nikawaza hapa ndo pa kuchukulia point. Wanaume tunajua thaman ya K kama hujaipata. Asikwambie mtu.

Nikamwambia boda boda ni hatari ngoja mimi nimfuate akakubali.kweli nikamchukua nikampeleka hadi kwake kinondoni.nikahakikisha ameingia room kwake nikamwaga.sisi wanaume tunapofukuzia K ni waungwana sana.

Kesho yake nikawasiliana naye na kumuuliza lini anakuwa free akanambia alhamis siku nzima yupo home.nikaliambia lijidada basi ntamtembelea nimpelekee nini.akanambia anything.basi nikanunua juice,Nyama,mchele na redds. Asub saa nne nikatia team.anapoishi ni nyumba za kiswazi.choo kipo nje majirani wanashare na pia uani wote wapo hapo.nikapiga moyo konde nikaingia ndani na mfuko mkubwa mkononi.

Majirani zake walikuwa wananicheck kinamna flan hivi,sikujali.uswahilin kuna watoto wazuri na kanga zao moko zimefungwa kifuani tu hawatak shida unaweza kuta chini hawajavaa kitu.wanapunga upepo

Akajipikilisha akiwa anapika aliporudi ndani nikamkamata maana alijifunga khanga tu.nikampiga moja la fasta nikiwa nimevaa condom. Then nikamruhusu akamalizie chakula tule nami nimle.biashara ni kuuziana na kununuliana.

Akamaliza mapishi tukala tukapumzika kidogo kwa ajili ya kupata ujumbe toka kwa wadhamini wetu.na hapo ikaja kazi yenyewe hasa iliyonileta.uzuri wa lile lijidada halikuwa na longolongo lilijua tu nimefuata nini kwake.masuala ya kusema tusomane tabia sijui nini...ni kukatana tu stimu.so hakukuwa na love stories wala nini.pale ilikuwa kazi tu.

Round ya tatu nilipiga issue kama saa nzima wazungu hawataki kuja...jaman shetani ana nguvu katika ufilauni wake.acheni.nikaona ujinga demu analalamika ameshafanya kila kitu sasa anasema K inawaka moto maana ashamaliza mpaka amechoka.mimi nikaona isiwe nongwa maana siku nyingine naweza nyimwa.nikaichomoa condom nikamlainisha nikapiga kavu kavu...akafurah sana baada kama ya 20 mins kwa shingo upande wazungu wakaja.

Tukawa na short break kwa ajili ya matangazo.game ikaanza upya tena mpaka kufika saa moja jioni nipo hoi...miguu inatetemeka.nadhani nlipunguza kama kilo 1.5 hivi.

Ila nilijifunza kitu.uswahili si kuzuri kupigia game.wanakata stimu sana.unapiga game smetme upo kwenye 18 unasikia
"Hadija nisaidie chumvi mwenzio nimeishiwa"
daaah... Inabidi uruhusu matangazo yapite akienda huko unakuta jirani anajisemesha semesha kweli kwa ajili ya chumvi na anaomba na mafuta ya kupikia yamepungua kwake.

Akirudi inabidi ucheze fair play mpira urudishwe kwa kipa muanze upya. Hamjakaa sawa kwenye game unasikia watu wanapita dirishani na smetme wanasimama hapo hapo dirishani wanapuliza sigara kubwa...na nyie moshi wake mnapata kama mnavuta tu wote tu. Hapo inabidi m mute ...kucheza game kibubu bubu nayo inapunguza morali sana. We hujawah waona wale mafundi wa tanesco wanapopandisha nguzo?wanaimba na kuongea sana.au nenda hata bandarini kwa makuli. Na game nazo ukiwa room unapiga kwa midundo na milio mbalimbali.

Mara tena mama mwanahamisi anaomba mabarafu aweke kwenye maji yake... so demu inabidi atupie khanga aende.nikasikia anamuuliza. "Shoga nimekukatisha nini?maana jasho la kutoka hasa utadhani unalima" hadija akajibu...
"nawe hupitwi na jambo"

Then akarudi tena...basi ili mradi ni vurugu mech.yaani unakatwa stimu nawakati ushalipia. Basi mchezo ukaisha... Baadaye tunatoka wananiaga... "Haya shem karibu tena siku nyingine hapa kuwe kwako" nikasema astaghafilulah hawa wadada wanitakia nin mie? Mmoja mbeya hasa anamwambia "hadija umechoka shosti pole yako"

Basi ndo kisa changu na hadija. Tukaendelea mara kadhaa then nikamkacha.Sasa leo nipo na jamaa zangu hawa wawili.alhaj na huyu fisi saluni kwa hadija.mimi na hadija mkataba uliisha.jamaa zangu nikawa nawaona wapo busy flan hivi.

Lile lijidada linazungusha tu macho chini chini kama mgonjwa wa degedege.ndo kumuuliza fisi mbona kama unachat na huyu dada hapo maana nikisikia mlio nacheki naona fisi anachat akisend text nasikia mlio kwa hadija.ndo akajibu...kuwa ashapumzika sana kwa demu anataka tena show weekend.

Moyo ukashtuka...asalaleeeh...nikawaza hii sasa dhahma na fisi naye kapita.

Basi hatukuongea sana tukatoka.kwenye gari ndo kuwekana sawa nikamwambia mi nlipita zaman kwa hadija.

Fisi akasema ye mwaka jana octoba amekula mzigo na ushahidi akaweka kwa kuchat na yule dada kumkumbushia.yule dada alijibu kwa sasa hawezi ana bwana.

Alhaji akaanza kutokwa na machozi na kusonya sana akimlaani fisi kwa uharibifu.anasema yeye alianza kumla toka May mwaka jana.sasa amejua na fisi amekula ustaadhi aliangua kilio kwenye gari utadhan amefiwa.

"Osama umeniua osama... Umemla demu wangu bila kinga...umeshaniua..." Siku zote ustaadhi anaamini fisi ana ngoma...huwa anamwita "osama mzee wa kusambaza moto" so hupenda kumshauri avae kinga.

Ustaadhi alianza kulaani akisema anajuta sana kuwa na rafiki kama fisi...amemla demu wake bila kinga na sasa kawaambukiza ngoma. Alhaj alikuwa analia kama mtoto.

Ikawa shughuli kumwelewesha alhaj.kuwa fisi hana ngoma. mpaka muda huu hakutaka kuamini.aliendelea kusema anajua fisi anayo maana kuna kipindi aliumwa akatoka vidonda mdomoni(ilikuwa malaria tu) sasa na yeye amepata.tulishangaa sana maana alhaj hakuwah kutwambia kuwa anang'ata.kumbe alikuwa ana nanii kwa siri.sasa siri imefichuka.

Mpaka tunamfikisha kwake anasema hakutegemea fisi angemuua kwa ngoma.sasa sisi tunamwambia lawama zatoka wapi wakati alifanya siri.

Anadai yeye atamwoa tu hadija na akioa tusikanyage kwake.na akataka tumpe simu zetu adelete namba za hadija.akadelete akilia sana na kutulaani sana. Ustaadhi anasema fisi bila shaka ataenda motoni na huko atakuwa kuni bila ubishi.alisema kwa uhakika kabisa.na kumtaka wafute urafiki ibilisi mkubwa.pamoja na yote bado anataka aendelee kumla hadija.alishampenda mtoto wa kinyamwezi.

"Nikajisemea kimfaacho mtu chake" maana ganda la mua la jana.. Chungu kaona kivuno. Ila nimesikitika...kesho na keshokutwa tutaendaje saluni kwa hadija?anyway...mambo ya ngoswe tunamwachia ngoswe.
 
Daaah...Aiseee huwa c quote long thread ila hiii ....

.nmejkuta NACHEKA kama mazur, ..."Na akienda MOTONI atakuwa kuni hilo halina UBISHI"
 
Ingekuwa poa km wote watatu mngeenda kupima ngoma..ilimjue status zenu
 
hahahah, napenda sana "siledi" zako

269577.jpg
 
Cjaelewaa hii fiction
 
hili jamaa huwa ni liongo sana, ila nimecheka sana hili neno fisi hahahahahha!

nna mdogo wangu wa kunifata aliwahi zamia mademu wawili wakamwambia mie shemeji yako kwa zipompa tangu hapo dogo ananiita fisi maji hahahahahaha!

eti fisi umeniua fisi hahahahahah
 
Back
Top Bottom