Wanaume, huu ni upepo tuu, nao utapita

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
8,858
23,117
Wanaume wenzangu wala tusitetereke, tuendelee kukaza uzi. Sasa hivi wanawake wamecahruka kweli kweli. wanatubambikizia kila aina ya kashfa, dharau, matusi na sifa ambazo hazikuwepo. Tena wana umoja utafikiri walikaa vikao halali vya kupyishia ajenda zao za kifedhuli.

Wanaume wenzangu, sisi tumeumbwa kupambana na magumu na mepesi yote yanayokuja mbele, nyuma na pembeni. Haya ya kutukejeli eti siku hizi tunapenda kulelewa kama wanawake, mara tuna vibamia, mara pumzi kisoda, mara viben ten, mara tuna deka, Marioo, mara hatujishugulishi kitandani ni upepo tu.

Ni miaka micahche tu hawahawa wabeijing walikuwa wanatuita sisi mabuzi, washefa, sugar daddies, walezi na kila aina ya majina kuashiria kwamba kuna kitu kizuri wanapata kutoka kwetu.

Mwanaume mwenzangu umeshajiuliza kwanini majina na hizi sifa za ajabu zimekuja kwa gafla ya bin vuu. ni rahisi sana kujua na hata wao wanaijua.

Sababu ya msingi sasa hivi wanaume tumejielewa na tumejtambua na hatutaki masihara kwenye pesa/kipato na mali zetu. Unajua nini? Wanawake lazima wawe na chuki, visa, hasira, ngebe na ghadhabu.

wewe fikiria mwenyewe, tumesitisha au kupunguza sana kuhonga pesa za kuvaa, kula, saluni, kodi, usafiri, starehe, matibabu na kila aina ya huduma..... unategemea ni nini hapo? ubafikiri utaitwa tena mshefa? au unafiri utasifiwa buzi lenye ngozi nene (japo sio sifa nzuri).

Sasa nasema hivi, hakuna cha sababu ya plastiki kukaza wala kulegea, ni kwamba tumejitambua na hatutarajii kuhonjga tena kizembe zembe. Tuko tayari kuvumilia kila aina ya kashfa mtakazotupa lakini kuhusu kuhongwa msahau.

Mnajifanya eti dildo na usagaji ndio staree ili tu kututisha tuone mnatukimbia eti labda turudie kwenye kuhonga, nasema mmenoa.

Siku njema
 
Ha ha ha...
Uuuuwi! Mbavu zangu mie jamani. Perfect read for a Friday!!! Wacha niendelee kusoma maana niliishia kati
 
Hahahha hii inaitwa Dick and pocket owners awareness
DICK and POCKET OWNERS AWARENESS! Mmoja juzi nilikaa naye Mara aseme anasikia njaa,mara aseme anataka kwenda kula mimi namwangalia tuu!Sasa hivi kila akiniona ananuna!Wa hivi lazima akuite kibamia.
Wanaume kazeni.No free luch. Msijali hayo majina mabaya.Ni Maneno ya wakosaji.
 
hii inaitwa hapa story tuu kula kwenu,mbo.o utapata ila pay hakuna
 
Hahahaaaa kwaiyo tuendelee kula vyabure ???.

Jamani ,tutofautishe kuhonga na kumhudumia mwanamke wako ,unless uwe una mademu mia sasa hamna unayemchukulia muhimu .

Ifike mahali tusipende vilivyokufa.
 
Ni miaka micahche tu hawahawa wabeijing walikuwa wanatuita sisi mabuzi, washefa, sugar daddies, walezi na kila aina ya majina kuashiria kwamba kuna kitu kizuri wanapata kutoka kwetu
Baba Nanihii kuja kipande ii jamani useme kuwa mie bado nakuita Dadiii, Beibee.....kwa UPENDO tu;)
 
DICK and POCKET OWNERS AWARENESS! Mmoja juzi nilikaa naye Mara aseme anasikia njaa,mara aseme anataka kwenda kula mimi namwangalia tuu!Sasa hivi kila akiniona ananuna!Wa hivi lazima akuite kibamia.
Wanaume kazeni.No free luch. Msijali hayo majina mabaya.Ni Maneno ya wakosaji.
Mkuu n mwendo wa cassava tuu hakuna haja ya kuhonga ...
 
Hahahaaaa kwaiyo tuendelee kula vyabure ???.

Jamani ,tutofautishe kuhonga na kumhudumia mwanamke wako ,unless uwe una mademu mia sasa hamna unayemchukulia muhimu .

Ifike mahali tusipende vilivyokufa.
Mkuu unachosema kina ukweli ...ila shidah ya hawa hawana guarantee yan unahonga na bado anaenda kugawa bure kwa wengine so n bora hiki kipind cha uchumba twende nao bila bila ......afu c wanataka haki sawa? Sa kuhudumia ya nn wakat wote now tuko sawa
 
Wanaume wenzangu wala tusitetereke, tuendelee kukaza uzi. Sasa hivi wanawake wamecahruka kweli kweli. wanatubambikizia kila aina ya kashfa, dharau, matusi na sifa ambazo hazikuwepo. Tena wana umoja utafikiri walikaa vikao halali vya kupyishia ajenda zao za kifedhuli.

Wanaume wenzangu, sisi tumeumbwa kupambana na magumu na mepesi yote yanayokuja mbele, nyuma na pembeni. Haya ya kutukejeli eti siku hizi tunapenda kulelewa kama wanawake, mara tuna vibamia, mara pumzi kisoda, mara viben ten, mara tuna deka, mara hatujishugulishi kitandani ni upepo tu.

Ni miaka micahche tu hawahawa wabeijing walikuwa wanatuita sisi mabuzi, washefa, sugar daddies, walezi na kila aina ya majina kuashiria kwamba kuna kitu kizuri wanapata kutoka kwetu.

Mwanaume mwenzangu umeshajiuliza kwanini majina na hizi sifa za ajabu zimekuja kwa gafla ya bin vuu. ni rahisi sana kujua na hata wao wanaijua.

Sababu ya msingi sasa hivi wanaume tumejielewa na tumejtambua na hatutaki masihara kwenye pesa/kipato na mali zetu. Unajua nini? Wanawake lazima wawe na chuki, visa, hasira, ngebe na ghadhabu.

wewe fikiria mwenyewe, tumesitisha au kupunguza sana kuhonga pesa za kuvaa, kula, saluni, kodi, usafiri, starehe, matibabu na kila aina ya huduma..... unategemea ni nini hapo? ubafikiri utaitwa tena mshefa? au unafiri utasifiwa buzi lenye ngozi nene (japo sio sifa nzuri).

Sasa nasema hivi, hakuna cha sababu ya plastiki kukaza wala kulegea, ni kwamba tumejitambua na hatutarajii kuhonjga tena kizembe zembe. Tuko tayari kuvumilia kila aina ya kashfa mtakazotupa lakini kuhusu kuhongwa msahau.

Mnajifanya eti dildo na usagaji ndio staree ili tu kututisha tuone mnatukimbia eti labda turudie kwenye kuhonga, nasema mmenoa.

Siku njema
Kama mwanaume naunga mkono hoja.. moja kwa moja. Na hii post ni moja ya post bora siku ya ijumaa. Wanaumeeeeee...kazi kazi !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom