Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Daaaah kila nikikumbuka hili tukio huwa nacheka na kujiona boyaaaa kweli kweli Ilikua naingia first year miaka kadhaa pale SUA-Morogoro Si unajua tena mambo ya kuingia Chuo kikuu na kupewa boom...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeinyaka sehemu Fulani kuwa eti Mombasa Kenya ukipata msambwanda unakana uraia kabisa jinsi utakavyo bebwa kwenda bafuni mbupu zikawekwa kwenye kisosi zikisafisha Kwa ustadi wa hali ya juu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa muda wa mwaka moja (1)toka tumekua katka mahusiano na binti moja mzuri kiukweli, figure anayo nampenda sio siri na yeye pia ila tumekua tukisaidiana katika ma suala mengi mpaka sasa home kwao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi, Naomba kuuliza hivi utajuaje kama una upungufu wa nguvu za kiume? Utajijuaje? Naomba kueleweshwa kwa kutumia busara.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hii ni ajabu na kweli, Kiukweli nimeshawahi msaliti kama Mara 3 hivi, Ila leo ndo kazidi sana kulia, jana nilijua yameisha maana nilivyorudi alianza kukasirika ila kaamka analiaa anasema...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi ni kijana wa kiume nina tatizo moja, nakosa sana confidence ya kuongea na watu hasa wanawake mbele ya kundi la watu hata tukiwa tunafahamiana naye, msaada tafadhali...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
WAJUE WANAWAKE MATAHIRA (1)..Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo ni taahira (2)Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo ni taahira (3)Anaedate na mume wa mtu...
18 Reactions
84 Replies
11K Views
Wakuu, Nashangaa Msichana unakuta anajiheshimu, hajiuzi wala hadangi lakini unakuta anafuga kucha. Ninachojua kucha zinafanya mtu asiweze kufanya kazi za nyumbani Vizuri. Vilevile kubandika...
14 Reactions
76 Replies
17K Views
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae. Huenda ukawa unavigezo kibao...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
Habari za saizi wakuu Hakika Mwaka huu naona unazidi kwenda kinyume na nilivyoutarajia awali. Yaani nimeamini sikio la kufa halisikii Dawa, na siku ya kufa nyani miti yote huteleza ni jana tu...
8 Reactions
102 Replies
13K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa Hatimae Utabiri Wa Askofu Gwajima Mwaka 2018 Utakuwa wa neema kwa kila mtu sasa waanzia kwangu.... Ni Miezi Miwili Tangu nimgegede Yule Tom'Boy aliekuwa Mzinguzi Mtaa...
11 Reactions
119 Replies
16K Views
Habari za Muda Huu WanaJ, Naandika Hapa Kuomba Ushauri Kwenu kwasababu Najua Jf ni Sehemu Yenye watu Wenye Weledi wa Kutosha na Hekima. Inakaribia Miezi Sita sasa Nilikutana na Dada Mmoja Katika...
1 Reactions
119 Replies
9K Views
Heri ya mwaka mpya wana mapenz,mahusiano na urafiki Leo nipo hapa kutoa ushauri kwa wenye wapenz ambao wanaish sehem tofauti either ni sababu ya kaz au nyingineyo yoyote ile Mimi nimehamishiwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina mchumba wangu niko naye sasa ni miaka miwili kwenye mahusiano. Ninampenda sana ila tatizo linakuja mchumba wangu yuko busy sana na kuangalia movies hadi anashindwa kuipa muda mahusiano yetu...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari...? Bila shaka siku imeenda vyema kama ilivyo kwangu. Kwanini baadhi ya wanawake wanakuwa na roho ya kikatili kwa wanaume zao ukizingatia wengne wanakuwa wapo ndoani kwa miaka mingi na...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Daaah ama kweli kuchepuka na kusex na vibinti vya age 18 hivi 20 ni vituko na sometimes pasua kichwa. Nina mchepuko wangu ana miaka 19 sasa, ni kabinti kenye mwili mdogo,very skinny, kifuani...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamvi mu wazima? Katika mambo yote usije kuomba likutokee kama lililomtokea huyu jamaa, jamaa ana mke na watoto 3 sasa kuna msichana alikuwa anatembea nae hapo mtaa wa jirani bahati mbaya au...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Ishawahi kukutokea hii, umemzimikia demu ukamtokea na kumpata lkn unamfahamu mchizi aliyekuwa naye kabla yako halafu huyo mchizi mwenyewe haumheshimu wala nini, yaani ni mchizi fulani ambaye kila...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jaman hebu niulize Hivi kunyonyana sehemu za siri wakati wa tendo ndio mapenzi?
0 Reactions
44 Replies
19K Views
Wakuu naomba mniombee nivuke salama miaka yote ya kuwa na msichana wa kazi ndani kwangu maana ni kwa mara ya kwanza ndio tunakuwa na binti wa kazi hapa kwangu ambapo tupo mm na wife tu na wote...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…