Ushauri kwa wapenzi wanoishi mbalimbali

Ushauri kwa wapenzi wanoishi mbalimbali

dedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
1,507
Reaction score
2,072
Heri ya mwaka mpya wana mapenz,mahusiano na urafiki

Leo nipo hapa kutoa ushauri kwa wenye wapenz ambao wanaish sehem tofauti either ni sababu ya kaz au nyingineyo yoyote ile

Mimi nimehamishiwa kaz mkoani sasa nna miezi minne nimejifunza ving sana huku ila nta base upande wa mahusiano ewe mwanaume mwenzangu ukisikia mkeo umetenganishwa nae mkoa kikaz 80% moyoni mwako andika maumivu huku tulipo wake za watu wana lalwa mpaka huruma aisee wengne ni ma boss kabsa

au kama una mpenz/mke anakuaga anaenda kwao kusalimia bila sababu ya maana bora uende nae tu hata kama huez kuish kwa wakwe basi utafute guest umsubiri coz huku mkoani watumish wana save sana na madem wakali wachache weng ni wa kupokonyana so kikija kisu kutoka twn watu tunakifukuzia haswa resources zote zinakua disposable ili tu umpate,,,kama huu msim wa xmass na mwaka mpya madem/wake za watu kutoka mjini wameliwa mpaka huruma aisee,,

kama unampenda usimruhusu aje peke yake huo ni ushauri na kwa wale ambao mnaish tofauti kwa sababu za kikaz anza kuishi mguu mmoja nje mwngne ndani mda wowote unaeza kupata habar mbaya
 
Wacha wake zetu wapate raha mbona wanaume wanagonga mademu kwa sana tu
 
Eti na ww mfanyakazi?? This is INSANITY!!!mawazo ya ukiazi mviringo kama haya kuwa nayo mfanyakazi..rubbish
 
Heri ya mwaka mpya wana mapenz,mahusiano na urafiki

Leo nipo hapa kutoa ushauri kwa wenye wapenz ambao wanaish sehem tofauti either ni sababu ya kaz au nyingineyo yoyote ile

Mimi nimehamishiwa kaz mkoani sasa nna miezi minne nimejifunza ving sana huku ila nta base upande wa mahusiano ewe mwanaume mwenzangu ukisikia mkeo umetenganishwa nae mkoa kikaz 80% moyoni mwako andika maumivu huku tulipo wake za watu wana lalwa mpaka huruma aisee wengne ni ma boss kabsa

au kama una mpenz/mke anakuaga anaenda kwao kusalimia bila sababu ya maana bora uende nae tu hata kama huez kuish kwa wakwe basi utafute guest umsubiri coz huku mkoani watumish wana save sana na madem wakali wachache weng ni wa kupokonyana so kikija kisu kutoka twn watu tunakifukuzia haswa resources zote zinakua disposable ili tu umpate,,,kama huu msim wa xmass na mwaka mpya madem/wake za watu kutoka mjini wameliwa mpaka huruma aisee,,

kama unampenda usimruhusu aje peke yake huo ni ushauri na kwa wale ambao mnaish tofauti kwa sababu za kikaz anza kuishi mguu mmoja nje mwngne ndani mda wowote unaeza kupata habar mbaya
Ulikuwa wilayani kabla ya kuhamishiwa mkoani?
 
Back
Top Bottom