Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 945
Kwa muda wa mwaka moja (1)toka tumekua katka mahusiano na binti moja mzuri kiukweli, figure anayo nampenda sio siri na yeye pia ila tumekua tukisaidiana katika ma suala mengi mpaka sasa home kwao wananitambua mimi lakini nyumbani kwao wapo watoto wa kike wawili yeye pamoja na mdogo wake.
Sasa jambo la kushangaza kadiri siku zinavyoyoyoma huyo mdogo wake mimi.
simuelewi kiukweli yanini pigo anazoniletea aisee inanipa wakati mgumu sana mara aninitumia SMS kibao zinazo mpaka nakosa amani nikiwa na dada yake yani ni too much, sasa anaweza kupiga simu halafu akadai appointment, mara atume SMS anasema namtesa moyo.
Hiyo tisa kumi wiki iliyo pita dada yake alisafiri bana sa jana mchana kweupe kajileta geto huku amevaa kanga tu kiukweli ilinishitua sana na ukweli dada yake ni mtu wangu kilicho nisaidia nilipigiwa simu ya dharura hivyo ikawa ahueni.
Naombeni ushauri ndugu wana JF hii ni serious imetokea