Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niwatoe hofu makamanda, tupo wengi sana, miongoni mwetu wapo watu maarufu kama yule wa kwenye video ya juzikati. Tusitishike wala tusijisumbue kutafuta dawa ya kuongeza vibamiz. Pia inaelekea...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili. Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwanini kwenye jamii yetu watu hua wanapenda kuungwa mkono/kusifiwa hata pale wanachosema/fanya sio sahihi? Nauliza kwasababu nimeona sana huku mitaani pia hapa JF. Yani mtu ukimkosoa...
17 Reactions
349 Replies
20K Views
Ni kawaida kwenye MAPENZI/MAHUSIANO watu kuwa na wivu..na ukifuatilia kwa karibu utaona kuwa watu wengi wanakuwa na wivu na wapenzi/wanandoa wenzao kwa sababu wanadai ni sehemu ya mapenzi yenyewe...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu. Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu. Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako. Tv ni bure kwa maisha yako...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaume wengi walioulizwa sababu za kuwatumia na kuwatelekeza wanawake wa jinsi hii walisema kuwa, kwa kutembea, kuonekana nao au kufanya nao mapenzi, wanaume hawa hujihisi sifa sana, hususani...
7 Reactions
77 Replies
16K Views
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kweli alikuwa mapenzi wangu toka primary miaka ya 96 mpaka hivi juzi alivyoolewa na jamaa aliemzalisha ila bado tulikuwa pamoja naamini tulipendana sana ila miezi mitatu iliyopita walifunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walio wengi watakubaliana Mimi kuwa hivi sasa biashara ya ukahaba inashamiri sana kuliko umalaya na ndoa kiujumla,waeza jiuliza kwanini ukahaba na malaya jibu ni hivi: Umalaya au kuwa ni malaya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadada inabid mtambue kuwa hata sisi wanaume kuna mwanamke katika maisha yetu aliwahi kuwepo au wengine yupo bado ambae alitusumbua sana akili kiasi kwamba unaweza kuwa zuzu mbele yake na mwanamke...
28 Reactions
182 Replies
19K Views
Inakuaje hii, Mara nyingine napewa namba naambiwa huyu ni gusa unate, ila nikimpima hola cha kushangaza wasichana wengi hawaogopagi kupima kabisa na wala hawakuombi na wewe upime na hata...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hello, Mimi ni last born katika familia yetu kwa bahati mbaya mama alifariki nikiwa mdogo (6years) hadi hapa nilipofika nimelelewa na ndugu upande wa mama. Makuzi yangu hayakuwa na upendo kama...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna kitu kibaya kama kudhalauriwa na Mwanamke kunako sitakwasita,bora afanye yote,ila asikutukanie heshima yako, Nimekuwa nikikutana na kesi nyingi sana zinahusu maumbile madogo ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dada usione mwanaume kavaa suruali mkanda kachomekea nadhifu ana vichenji vikakuzuzua mchunguze kiundani kabla ya kuolewa nae . Zijue Tabia zao zisizopendeza na kama zipo unazozijua ongezea...
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Hub you know what, I just want to be alone for some moments, give me a space kwanza nitulie ntakutafuta mwenyewe." Eti huku kama sio kuonana zoba ni nini jamani, hivi kuna haja ya kuendelea...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani leo nimeamua kuleta huu uzi, lakini hauna style ya ki-beira baby boy ki-beira baby boy. Unajua ukiwa mtu mzima then ukawa unafanya mambo ya kitoto inakuwa ni kituko sana katika jamii...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Nampenda mwanamke mwenye makalio makubwa ambayo akitembea yanakuwa kama yanadondoka hivi. Siyo yawe magumu magumu, nayapenda yale malaini yanayo danse na mwenekano wake wa mviringo. Akiwa...
1 Reactions
188 Replies
94K Views
Iwe ameoa au hajaoa lakini ana mwenza basi mwanamke uwe na machale sana nyakat hizi; Other factotrs are held constant. 1. Kipindi cha MP/hedhi 2. Kipindi chote cha ujauzito 3. Kipindi mmekosana au...
23 Reactions
70 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mke HIV+ urefu wangu ni cm 165 au futi 5.4 ni mfanyabiashara na sijaanza ARV's sababu CD 4 bado zipo juu nimeupata ivi karibuni. Vigezo ni; 1. Awe maji ya...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua, hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu. Pia wengi huishia...
11 Reactions
111 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…