Wanawake wengine bwana eti "I need a space " hivi kuna haja ya kuendelea kumsubiri mtu kama huyo?

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Hub you know what, I just want to be alone for some moments, give me a space kwanza nitulie ntakutafuta mwenyewe."

Eti huku kama sio kuonana zoba ni nini jamani, hivi kuna haja ya kuendelea kustick na mtu alokutamkia hivo?

Karibu
 
....Hub you know what...., I just want to be alone for some moments, Give me a space kwanxa nitulie ntakutafuta mwenyewe..."
Eti huku kama sio kuonana zoba in mini jamani, Hivi KUNA haja ya kuendelea kustick na MTU alokutamkia hivo?
Povu ruksaaaa....
Karibu
Alipokujibu hivyo ulikuwa ukimtongoza au ni mpenzi wako. Kama ni mpenzi wako umemvuruga, umelikoroga ndiyo akawa hivyo. Nahisi kuna kitu umekifanya, hujakiweka wazi.
 
Kuna mmoja alinambia hatak
Mlev na shart lake n kuwa
Hakuna kusex mpaka ndoa

Nlimwambia sawa ngoja
Ntakufkiria
 
dah wanawake wanaongeaga kiutani sana huwa kama wana test,lakini ndio wanakuwa wamemanisha au kutomanisha! ww ukiwa legevu na ukisema its ok basi inakuwa hivyo ila ukiwa una msimamo unaweza badili hali yote aliyokuwa ameipanga kichwani.kiufupi wanawake karibu 95% huwa hawana msimmo binafsi nadhani hii ni nature yao-so ukitumia udhaifu huu unaweza kuweka mambo sawa.
 
Exactly, ogopa kitu kuonekana Needy kwa mwanamke, ninaepuka hilo
 
Me nlivunga sasa now haish
kutext wasap juz kat kaomba tuonane
Nakamwambia ngoja nkipata time
Ntakushow
You made a good decision, truly you acted as a Man! Mkubalie sasa madaam amekwisha jileta
 
Back
Top Bottom