Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kijiweni hapa Nyasaka! Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke. Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na...
11 Reactions
103 Replies
5K Views
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo, Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu. Mnamo Mwaka 2015 Nilikutana na binti wa...
11 Reactions
123 Replies
14K Views
INTRODUCTION. Haloo mpoooo .... Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA. Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na...
24 Reactions
94 Replies
4K Views
Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Halaaaaaa!!! Unajua asilimia kubwa ya wanaume huwa tunadanganyana sana kuhusu mwanamke bikra wengi tunadanganyana kuwa bikra ni waaminifu tunadanganyana kuwa bikra hawezi kukuacha tunadanganyana...
12 Reactions
75 Replies
13K Views
Jamani usisikie kitu kinaitwa walokole. Nilikuwa na rafiki chuo nilitokea kumuamini kisa anajua maombi. Nilikuwa naye beneti sana kila ijioni anaenda maombi . Muda nwingi ukimpigia yupo kwenye...
7 Reactions
22 Replies
886 Views
Hakuna shida kabisa. Hii hapa hadithi yako imepangwa vizuri kwa aya bila kuongeza maneno: --- Nilifikia uamuzi wa kutokuoa baada ya kuona wake za wapangaji wenzangu wakiliwa kimasihara na...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Miezi kadhaa iliyopita, nilitembelea baadhi ya vijiji kama mikoa mitatu hivi; nimegundua vina upungufu sana wa watu, wengi waliopo ni wazee ambao hawawezi kufanya kazi ngumu za uzalishaji...
7 Reactions
28 Replies
825 Views
Kuna pisi unatoa hela kimoyomoyo unasema pesa yangu imeenda kiuhalali toto linavutia balaa mkifika ndani anajiongeza ufundi kama kasomea veta ni mwendo wa magoli kama CR7 hiyo ndio tafsiri sahihi...
0 Reactions
4 Replies
386 Views
Salaam, Kwanza MUNGU awabariki sana wanawake weusi. Na pia kabla ya yote naomba niwajuze kuwa tumekubaliana Jumapili ijayo tunaenda kutoa sadaka kwajir yenu, ili MUNGU awatunze. Binafsi hapo...
35 Reactions
114 Replies
4K Views
Mahusiano yana changamoto nyingi sana, usipokuwa na utulivu unaweza kuingia matatani. Kuna mdada mmoja alinipigia simu na kunijulisha amenikumbuka, kwa hiyo nimtumie nauli ili aweze kuja kwa...
22 Reactions
146 Replies
4K Views
Awali ya yote nipeleke shukrani zangu za dhati kwa mpenzi wangu Marry Diana kwa kunipeti kiasi cha kunifanya nipate nguvu ya kuandika huu uzi (wenyewivu wajinyonge) Kabla sijakaa chini na...
6 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari Wana JF. Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October. Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke...
3 Reactions
19 Replies
912 Views
Habari wakuu, As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima...
17 Reactions
156 Replies
14K Views
Nawaibia siri, siku nyingine muende kuwapa tendo huko makazini kwao wagugumie kama mabeberu kwenye viti vyao na kila wakiingia mzigoni wanakumbuka mbususu waliyosusiwa wanapata hamu ya kurudi...
15 Reactions
288 Replies
10K Views
Wakuu! Ushawahi kujiuliza kwa nini bado unatafta mwanamke/mwanaume mwingine ili ukaze/ukazwe nae wakati tayari unae mume/mke au mpenzi wako? Nini kinakufanya uwe nao wengi. Ili kukomesha hili...
2 Reactions
64 Replies
2K Views
Bro makinika awa madogo janja mnaowaleta town kusikilizia michongo itiki muwe nao macho, mnapo waacha nyumbani na shemeji zao unatengeneza bomu la nuclear. Husimruhusu mdogo wake akae tu...
2 Reactions
1 Replies
372 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…