Kama unataka kuingia katika mahusiano basi kuna wanawake ni wa kuwaogopa sana.Na hii itakusaidia kulinda Heshima yako,Kuondoa stress zisizo na sababu za msingi na kukufanya uishi KAMA MWANAUME...
Nimekuwa mwanachama wa JF kwa muda wa miaka 4 sasa. I come to you members today kwa ajili ya ushauri wa hili jambo ambalo ni changa lakini naona litakuja kuharibu maisha yangu huko mbeleni.
Mimi...
Katika maisha yangu haitakuja itokee hata siku moja nijichanganye kuoa mwanamke mfia dini. Wengi wao akili zao zipo rigid(hawashauriki). Wakati nipo mwaka wa pili chuo, kuna dada mmoja alikuwa ni...
Kama ilivyo kawaida, Sarafu ina pande mbili.
Kila lenye kuwa jema lazima lazima liwe na mapungufu pia.
Kila lenye faida lazima liwe na hasara yake pia.
Ni tabia zipi huzipendi kutoka kwa...
Wana janvi naomba tafsiri ya swala hili,
Hii ni mara ya 3 kuna mbidada amenambia ameniona kwenye ndoto tuna gegedana, sijawahi kabisa kuwa naye kimapenzi huwa tuna ongea tu na tunasalimiana basi...
Habarini wana JF,
Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi.
Wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa katika kundi la watu dhaifu kwenye...
Suala la kuchepuka kwa wanandoa kwa miaka ya hivi karibuni limekua ni kawaida kwa wanandoa na bila kupepesa macho wanaume ndio tunaoongoza zaidi kwa kuchepuka kuliko wanawake.
Mwanaume anaweza...
Barua ya mke kwa mumewe wa zamani. Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
My X Husband,
Nilikuwa binti mdogo ambae nilikuwa nikisoma chuo kikuu nikiwa na mipango mingi ya kimafanikio na malengo mengi...
Hello
Bila shaka mko poa!
Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja!
Umri : 28
Mwanachuo mwaka wa tatu...
Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote,
Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na...
Morning Jf! Kuna mdogo wangu kampenda sana bint mrembo chuchu kama mdoli kwao watata jamaa nae mipango ya ajira bado haijakamilika.
Anahofia kipindi cha kusubiria atapokonywa kwa urembo wake hata...
Kuna dhana fulani imejengeka kuwa mtoto wa kiume akizaliwa kipindi cha kukatika kitovu mama yake anatakiwa awe makini kitovu kisiangukie kwenye 'kifanyio' cha mtoto maana kikigusa tu pale mtoto...
Hivi ikitokea umeulizwa swali hili ni kitu gani au jambo gani huwa unajivunia toka kwa mpenzi wako
Mimi upande wangu nashukuru mungu nimempata mpenzi ambae anaendana na mimi kitabia na itikadi...
Habari za jumapili
Wakuu "mficha maradhi mauti humuumbua" waswali husema
Ni kama miezi miwili sasa nimekuwa na tabia ya kupenda wanawake wakubwa walionizid umri, hii tabia inanikera sana, sijui...
Habari za mda huu,
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa hapa mjini yapata miezi 3,cha ajabu anataka nikamtambulishe nyumbani kwetu,eti mama,baba na ndugu zangu wamjue.Najiuliza sipati jibu...
Hi wanabod ,hope u all good
niende kwenye mada since the beginning of this january nimekuwa natongozwa sana ,yaani imekuwa too much
Halafu wanaume wenyewe ni vijana wa makamo kwenye 30's hivi na...
Kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uchi hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thamani ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa.
Sijawahi jua kametoka wapi alafu haka kamchezo.
Habari zenu wanajamii forum
Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi...
Its a confession.. nimejisikia uchungu sana baada ya mdau hapa JF kuandika uzi mrefu sana kukata tamaa kutokana na maambukizi ya HIV aliyokua nayo.
Nakumbuka kuna siku moja niliamka kichwa...