Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa...
Katika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi...
Bro, Ni kweli wanawake wapo wengi sana duniani kuliko sisi wanaume
Lakini ukifika muda wa kutafuta MKE - ndipo utagundua wanawake ni wachache mno hapa duniani
Kumpata mwanamke wa maisha, wa...
Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde.
Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi...
Sex imetengeneza na kuharibu empires. Imeharibu mipaka na kutengeneza mipya
Sex imeshinikiza na kuhimiza
Sex imeliza na kumaliza
Sex ni expensive sana, hata kama ukiipata free, Consquences zake...
Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta...
No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha...
Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo...
Unakubaliana na Chris Breezy?"
Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown
"Sidhani kama ndoa ina maana yoyote...
Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala.
Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so...
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.
Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa...
Kwema wakuu
Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi:
Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye...
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.
Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile...
Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki?
Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao?
After...
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school...
Kitu gani ulikifanya wakati hisia za mapenzi zimekukolea ukikumbuka unajicheka mwenyewe?
Kama hujawahi kuchanganywa na hisia - Jibu swali lolote kati ya haya tuzogoe;
Ulifanya nini kumsahau...
MZUNGUKO WA MAISHA WA MWANAMKE WA KISASA (MALAYA)
Umri wa Miaka 12-15:
Anaanza kufungua miguu yake kwa wavulana wa shule ya sekondari na kuanza kupata uzoefu mwingi wa kingono.
Umri wa Miaka...
Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho...
Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu.
Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu)...